She is not my standard


NO..nlishasema kilichoniponza ni urembo wake na availability..
 
Urembo na availability ya mwanamke unapomuhitaji ni moja ya kigezo muhimu kwa ndoa

Bahati mbaya kwangu sio katika mke, awe navyo hivyo na tabia inayotambulika pia mpenda maendeleo.
 
Kiukwel kk ulikosea tangu mwanzo ila bado unanafac ya kumuacha, unapotaka kumuacha m2 wa namna hii haitakiw haraka unaenda nae taratbu, kwa kutafuta sababu zczokua za mcng pole pole atmaye na yy anachoka atakama ingekua n ww m2 anakwambia tuachane nakat rson za kumuacha umwambii lazma achukue maamuz magum ya kujiua,,,,,, so plz taratbu kwa kutafuta vjisababu vdogo vdogo atimaye nae atachoka!! Hope utaelewa, ningekueleza mengi ya kufanya ila kuandka kaz.......
 

Thanks..nimekuelewa mkuu
 
Kwani tabia yake huitambui??!!
Maendeleo anayapenda ndio maana kachagua mume wa masters level na sio form four mwenzake!!!!!!
Kiufupi binti ana wivu wa ajabu, kashaharibu vitu vyangu vingi nyumbani kisa kuhis hisi..kishanivunjia simu zangu mbili,
keshawapigia simu marafiki zangu wa kike tunaofanya nao kazi akidhani natembea nao, yaani usimwache ndani utakuta kakusachi .
Yani ugomvi kila wakati...
 
NO..nlishasema kilichoniponza ni urembo wake na availability..

bado hujanijibu maswali yangu, so humpendi kabisa? kama humpendi ni kazi rahisi tu si uko nje ya nchi, endelea kukaa huko,kama mna mawasiliano kata kabisa mawasiliano naye, akisubiri atachoka na kama ulivyosema ni maharage ya mbeya ukirudi utakuta kamilikiwa na mwingine,na utakaporudi usimpe nafasi tena hata sekunde moja.
 
Mapenzi na degree mbili wapi na wapi jaman?au ndo umemchoka binti wa watu mkuu?

afadhali umesema wewe, kwa maana nyingine wa darasa langu hakuna huolewa na wenye vyeti vya mlimani.
si lazima ufike chuo kikuu ndiyo uwezee maisha
 

Duh!!hapo ni urafiki tu je ikija ndoa nahisi utafungiwa mlango ukichelewa kurudi ,Hahahahhaha
 

Si anakujua bandubandu na anajua akileta poda mbele utamzunguka kama ulivyomzunguka rafiki yako!!!!!

Kakujua vema na.amekutyunia muziki wako kwa ajili yako wewe na yeye muucheze!!!!!

Tulizana hapo mpaka biti iishe na angepata wazo akuchukulie RB kabisa kuwa unatishia kumuua au kumfanya vibaya sababu anakupenda na ulimlazimisha kutoa mimba!!!!
 
Wewe na yeye wote vicheche, tena kwa tabia yako ya kugegeda ovyo huyo ndo size yako
 

Mkuu mimi nashindwa hata kuelea ni Unatoa taarifa kwa ujinga uliofanya au ni unaomba ushauri kweli. Pamoja na hizo degree mbili hujawahi kuwa na chumba? na kama unae kwa nini unaacha njia kuu? Hayo ndio matokeo ya kupenda vitu ambavyo ni vya mteremko. Mim nakushauri ukubali matokeo na uanzae kutafuta mbinu bora za kumfanya huyo mwanamke awaze vitu vya maendeleo.
 
Duh!!hapo ni urafiki tu je ikija ndoa nahisi utafungiwa mlango ukichelewa kurudi ,Hahahahhaha

Kama alipigiwa simu tu akaacha na news na akagegeda kabisa huyu si anatakiwa afugiwe mbwa kumlinda kabisa!!!!!

Flaiz yake haina zipu!!!!
 
Nimemwambia maranyingi, mwanzo alikua anaelewa but siku hizi hataki kusikia, nimemwahidi kumsaidia kimaisha na atafute mtu hataki hiyo habari,
nshampa mtaji wa biashara kakataa, anasema hana dhiki na hela zangu.
Kaka hapo latamu sana. Ila nadhani wewe humpendi ndio maana unamtoa kasoro nyingi hivyo. Kwenye mish ya ndoa, hasa kwa sisi wanaume, kuoa mwanamke ambaye unajua amegegedwa na akina nani, tena kwa idadi, nina uhakika itakusumbua sana baadae, hasa atakapokosea hata kama ni kwa bahati mbaya. Uamuzi ni wako. Lkn nikuulize swali moja, kwa mfano ndio katishia kujiua na akafanya kweli, unadhani maisha hayataendelea kwako?
 

Kuhusu kumpenda sina mapenzi nae, nadhani ntafuata ushauri wako..Uko sahihi
 
maisha yataendelea, ila sipendi mtu apoteze maisha yake sababu yangu mimi..ndio maana natafuta njia ambayo itamwacha huru na mimi pia itaniweka huru mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…