Sijui kwanini sijajishughulisha na uzuri ama ubaya wake!.. nimejikita kutazama mikunjo ktk sura yake ambayo ktk Chinese face reading inamaana zake mikunjo aliyonayo mtu usoni! Hasa kuanzia miaka ya umakamu Yani 40 kwenda mbele.. mikunjo hii humaanisha emotions mbalimbali zenye historia ya mapito mazuri au mabaya ndani yake!