sasa ukitishiwa nyau na wewe ndo unaogopa???? wewe peleka barua moja kwa moja kwa wazazi wake hapo ndo utajua kama yuko tayari kuwa na wewe au lah
usikute anakutishia ili uharakishe mambo
Miaka imepita
kwenye juu ya kunipenda huwa hapendi kuwa muwazi sana,Je huyo binti anakupenda bado?
hapana mkuu what i feel is not an illusions..Isije kuwa mwanaume una 'illusions' za first love
huwa ananiambia mara nyingi kuwa anamtu, na mwaka jana mwezi wa 8 aliniambia kuwa alikuwa kwenye mpango wakuolewa, ila nilipochunguza nikagundua kuwa alikuwa akinirusha roho tu..Je binti hana mtu?
katika story za kawaida aliwahi kujisahau na akaniambia kuwa hajawahi tena kufanya mapenzi na yeyote.(hili siliamini sana)Maana usitegemee miaka yote yeye chake akawa kakihifadhi tu ilhali ana uhitaji
good question nadhani atakuja kulijibu mwenyewe...Je binti unadhani huyu mwanaume ndo wa ndoto yako? Ana vigezo unavyovitaka?je binti anaweza kuwaza kuwa na wewe miaka 20 mbele katika hali zote? ( namuuliza binti maana mwanaume ushakata shauri)
Mbona unaandika vitu irrelevant...
Unafahamu utaratibu wa barua ya posa wewe?
miss neddy, hivi unadhani kuandika barua ni ishu rahisi?
kwanza si mtoto tena,
tumekuwa sasa. najitegemea na yeye anajitegemea.
hiyo barua unaipelekaje wakati ye hakai tena kwao?
mhhhhhhhhh najua sio issue rahisi lakini hii mbinu yaweza kusaidia binti aone unamaanisha kidhamira atiii
sio lazima siku ya kupeleka binti awe home we unatuma wazee tu
na kama ikikataliwa ujue huna nafasi moyoni mwake yakupasa usonge mbele
nafahamu sana tu
nawafahamu vyema wazee wakichaga miss, i know them very well
si wakuendea kwa njia hii afu ishu hapa ni sisi wawili kukubaliana tu.
wapi ambapo si sahihiSasa mbona maelezo yako si sahihi....!!!
Hapa leo kuna nini?
Hapa leo kuna nini?