She is a homewrecker

She is a homewrecker

......haya sasa, bora kuvaa helmet bongo zama hizi za 'mistaken identity!' Ya homewreckers...
kwani mume akitembea nje kuna shida gani..yaani mtu akugegede wewe tu mwaka mzima..?
 
Huu mtandao haufai kuwepo huku utasababisha mauaji ya kimbari...
 
Kufanya vipi mamito?
Tumsifu Yesu Kristu
Siamini mshkaji kama unafanyaga hivi LoL

Hehehe kuna siku nilikuwa saluni ya masuper star wa mujini. Mdada anasimulia mume wangu sijui nini na nini. She was picked, na mdada mwingine kumuona jamaa akashangaa manake ni mume wa ndoa wa shosti wake. Mie hata nikiambiwa Paw ana mke na 7kids sitashangaa japo mie nimemzalia 9 kids. Woooi!
#DEAD #! Say what?
 
Kufanya vipi mamito?
Tumsifu Yesu Kristu

Hehehe kuna siku nilikuwa saluni ya masuper star wa mujini. Mdada anasimulia mume wangu sijui nini na nini. She was picked, na mdada mwingine kumuona jamaa akashangaa manake ni mume wa ndoa wa shosti wake. Mie hata nikiambiwa Paw ana mke na 7kids sitashangaa japo mie nimemzalia 9 kids. Woooi!

Relationships ni pasua kichwa aisee. Tena ndoa ndo usiseme.
 
Kuna tindikali prufu? Medical insuurance yangu hhaijakava mambo ya tindikali.
 
Yani ikija bongo nadhani baadhi ya wanawake watakuwa wamebadilishana wanaume . Sasa sijui watasutanaje kwa sababu hapo kila mtu ni mwizi.
 
wachache watabenefit kwa hapa bongo!! kwanza itakuwa ni njia ya kujipatia umaarufu kwa kutengeneza fake scenes!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom