mwanajeshi wa eddoYes she is a fighter but on what side is she? Hata katika vita kati ya Mungu na shetani kila mmoja ana majeshi yake. yeye mwanajeshi wa nani?
Sonara fafanua zaidi...mbona hana mvuto huyo mama
Atakuwa anapigania sana tumbo lake sijawahi msikia akiongea cha maana zaidi ya kutapika huyu mama.
Mh, Sophia Simba
Huyu naye katoka wapi? I guess kila mbuyu na shetani wake, eh?
Mh, Sophia Simba
Sophia Simba, kaelezwa kuwa ni tishio, ndiyo maana amekuwa akipigwa vita na baadhi ya wanasiasa tangu kushika nafasi hiyo....