Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,963 3,675 Feb 15, 2017 #1 Tukio la ndoa na tangazo la tigo... Inamaana ndoa pia imempa kipande cha pesa za tigo
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Jan 23, 2013 5,352 9,321 Feb 15, 2017 #2 Mkuu hili lilikuwa ni Tangazo na wala sio ndoa halisi
MasterP. JF-Expert Member Jun 5, 2013 8,053 6,388 Feb 15, 2017 #3 Mi nilijua ndoa kweli kumbe tangazo
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Jan 23, 2013 5,352 9,321 Feb 15, 2017 #4 MasterP. said: Mi nilijua ndoa kweli kumbe tangazo Click to expand... kizembe hivyo hakuna hata blog moja iliyoreport, hiyo ilikuwa ni kutafuta attention tu
MasterP. said: Mi nilijua ndoa kweli kumbe tangazo Click to expand... kizembe hivyo hakuna hata blog moja iliyoreport, hiyo ilikuwa ni kutafuta attention tu
Mnyalusungu Senior Member Sep 30, 2016 103 56 Feb 17, 2017 #6 Ningeshangaa sana joti aoe then kuwe kimya hv
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,286 15,530 Feb 17, 2017 #8 Mu-Israeli said: Huyo 'bibi-harusi' ni M-Kenya..?? Click to expand... mi ntajuaje