kyupini maroufouk kugusa....kwapa kuna dread.....miguuni sijaotwa na nywele.....love garden my baby huwa ananyonyoa moja moja zilizozidi.....
need I say more.....senor..!!
Leo wewe si bure! Una kitu kwa mtwe !
Number 5. sitaki swali.
natunza misitu ya maliasili..no deforrestation activities!
Unatumia nn?
1- Shave cream
2-Blade
3-Shave machine
4-Waxing
5-Unafuga...
Unatumia nn?
1- Shave cream
2-Blade
3-Shave machine
4-Waxing
5-Unafuga...
chik salon, ppf house! karibu, ukianza hutaacha! kuhusu price yategemea na kiungo unachoshave, eg, mguu mzima mpaka paja 8000, etc, so it depends!how much is it? is it full body or partial?? wanafanya sehemu gani hapa dar?
chik salon, ppf house! karibu, ukianza hutaacha! kuhusu price yategemea na kiungo unachoshave, eg, mguu mzima mpaka paja 8000, etc, so it depends!
khaaaaaaaaa, wanawake shem jamani, lol! Mzima weye?shem wanakufanyia wanaume au wanawake??
cacico nimepita leo wanafanya hata kwa men sehemu nyeti....lakini wana wateja wengi mpaka appointmentchik salon, ppf house! karibu, ukianza hutaacha! kuhusu price yategemea na kiungo unachoshave, eg, mguu mzima mpaka paja 8000, etc, so it depends!