sharobaro na shangingi

mi ninanuaga sh 2000 cjui ingikuaje

nawewe, aah! bei hiyo unataka wa kukufulia chupi mwana? Nenda rozana buguruni! inapigiwa debe...Tigo buku jero, voda nyongeza! Tigo buku jero voda nyongeza! maongezi yapo! maongezi yapo! wateja wa kudumu mkopo ruksa! ukitaka kujiunga na bili maelewano! haina shobo mchizi wangu.
 
sharo alitamani aendelee kuzimia
 
mh..... noumer............ :drum::drum:
 
Sharobaro nouma, buku 5 ataka piga puchu
 
Walah hapo unaweza kufa kabisa sembuse kuzimia.
 
we ni mwenyeji mitaa hyo eh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…