Sharobaro kijijini

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Sharobaro mmoja alitembelea kijiji kimoja mkoani sumbawanga.Alipokuwa huko aliamua kuvinjari mitaa mbali mbali kijijini hapo.Cha ajabu kila mwanakijiji aliyekutana naye,alimwangalia kwa mshangao huku akisikitika na kisha kuendelea na safari yake.Sharobaro akaamua kumuuliza bibi mmoja;Hey grandma,inakuwaje mi nakatiza mitaa,nimepiga jeans,t-shirt,raba kali na madini yangu shingoni lakini watu wananiangalia halafu wanasikitika,au ndo wananionea wivu? (Bibi akajibu);Mjukuu wangu,hiki kijiji kila mtu ni mchawi,watu wote wanavaa hirizi kujizuia wasionekane uchi,wewe badala ya kuvaa hirizi umevaa cheni na ndo maana kila mtu anakuona uko uchi wa mnyama mpaka wanakusikitikia!
 
kwa hiyo sharabaro kavuliwa nguo ki kimyakimya na kaliwa tigo kikimya ndo maana kila mtu akawa anamsikitikia.
 
kumbe kuna mkoa unaitwa sumbawanga mkuu?
 
Duh dah sumbawanga noma kweli.
 
Sumbawanga ni noma kuna jamaa alienda kutoka DSM akaingia kilabuni na ndugu yake wakawa wanakunywa pombe. Yule mgeni ikawa kila dakika anaenda kujisaidia chooni mpk akachoka akipiga funda moja tu la pombe anaenda kukojoa.

Baada ya muda mwenyeji wake akawafuata wataalam kuuliza kulikoni mgeni wake anakojoa hovyo akaambiwa pale kijijini kama mtu katoka mjini inabidi awanunulie watu pombe sasa kwa kuwa alikuwa hajafanya hivyo wataalam pale kilabuni walikuwa wanamtupia mkojo wao kwa njia za kienyeji anaenda kukojoa badala yao. Jamaa baadae akawanunulia pombe kilabu kizima ndio mkojo ukakata
 
Ahahaaaah!
 
Taratibu jamani wengine tuna wachumba huko. Mtatuogopesha namna hii.
 
Maskini Sharobaro anajua anaosha kishezi kumbe anachoreka LOL!!!!!
 
Hivi wanawake wa sumbawanga nao wachawi?nisije nikaoa witch doctor
 
Ahahahahaaah!!! Nyie watu mnaongea vitu ambavyo havipo, huku ni amani tu!
 
Yaani huko kuwa mchawi ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu kabla ya malazi, mavazi na chakula. Usipokuwa mchawi unaitwa masikini. . . .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…