Mimi pia Jamaa tulianza akumpenda yani kwa kiipindi kile alikua Ndo rising Star...
Yani kama mafanikio ndo yalianza niliumia kwa ajili ya ndoto za huyu kijana kukatika.
Mwingine ni aggy masogange mpaka leo jaumiaga sana huyu dada kufa
Sina undugu wowote na Sharomilionea hata ule wa kuhisi, lakini kifo chake kiliniuma kuzidi hata vifo vya baadhi ya ndugu wa familia yangu.
Unaponiambia huo ni ujinga, asante, na huo ndiyo ujinga wako 🤔
Sina undugu wowote na Sharomilionea hata ule wa kuhisi, lakini kifo chake kiliniuma kuzidi hata vifo vya baadhi ya ndugu wa familia yangu.
Unaponiambia huo ni ujinga, asante, na huo ndiyo ujinga wako
Kuna habari za kusikitisha na uhakika kuwa msanii aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea jina lake Hussein Ramadhani, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika matangazo kwa style ya aina yake amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Tanga.