TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Lei ni siku ya kufa kwake
OK alifariki siku kama ya leo sio?
Oohh poleni sana wapendwa kwa kumpoteza mpendwa wenu
Hata hivyo kifo kile tulitakiwa kujifunza kitu haswa suala zima la usalama barabarani na umakini tunapokuwa tunatumia vyombo vya moto
Sina taarifa kamili haswa nini kilijili kwenye ajali iliyotoa uhai wake lakini itoshe tu kisema kwamba bado tunatakiwa kuwa makini sana tunapotumia vyombo vya moto barabarani
 
Ndugu wana jf sina hakika na hii habari but katika pitapita yangu mtaani nikaskia hizi habari ambazo sio rasmi,tunaomba wenye uhakika basi watujuze maana wasanii wetu ndo wanazidi kuisha,nawasilisha
Aisee weka habari za uhakika

sio ku beep
 
Kipindi Sharo anafariki Simu za Blackberry zilikuwa Juu sana. Enzi hizo Android ni za Wachache.
Instagram haikuepo. Ila ilikuepo BBM tu. Ukihitaji umbea wa Mastar wa Bongo lazima uwe na BBM.
Maisha yanaenda kasi sana.
 
Wakati mwingine basi uwe unaficha upumbavu wako unadhani kuongea sana ndio unaonekane mjanja wa JF, mijitu mingine bana...kwa hiyo wewe huwezi kufa...njia yetu sote kila mwanadamu kaumbiwa kifo. Wewe kila sehemu ushabiki wa vyama tu. Papuluioo!!
Punguza kubwatuka. Kila mtu ana maoni yake humu.
 
Back
Top Bottom