Ernie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2010
- 217
- 29
Sharobaro kaenda Loliondo si akapewa kikombe cha maji ya uzima na babu, akasogea chini ya mti kwa muda bila kunywa huku kashikilia suruali yake isianguke! mchungaji akamuuliza vipi mbona hunywi dawa? Sharo akajibu, NASUBIRI MRIJA MEEEN! Duh atapona kweli?