Shark & Madame B hawa hapa!!

Last edited by a moderator:
Ni Madame B huyuhuyu ambaye nilimpa tiba ya asili iitwayo pakajimycin kule Tanga, eneo la Chumvini, au mwingine?

Tena PJ nlikua nakutafuta sana.
Anyway, yale yalishapita. Hii picha imepigwa jana thru kamera ya kutegeshewa!!
 
Madame B kuja pande hii, kuna picha zenu za valentine huku
 
Last edited by a moderator:
Madame B kuja pande hii, kuna picha zenu za valentine huku
Msinambie siku hizi Valentine imerudishwa tarehe nyuma hadi 06.02.2013!!
Kweli uzee si ugonjwa na hakika Ujana maji ya moto!
 
Last edited by a moderator:
Msinambie siku hizi Valentine imerudishwa tarehe nyuma hadi 06.02.2013!!
Kweli uzee si ugonjwa na hakika Ujana maji ya moto!

Wewe huelewi,
Hii alikua anazijaribu tu, huoni kama anazivua baada ya kujaribu??
 
Last edited by a moderator:
Au ni macho yangu?
Naona mmojawapo hapo tayari keshaanza kusaula buti then what next ?
 

Mhhhhh! Haiwezekani kabisaa, haiwezekaaani. Madame B wamemsingizia, sio yeye bhan. PakaJimmy kusoma picha ushindwe hadi kuangalia maandishi pia?
 
Last edited by a moderator:
Madame B kumbe za kwenye mabenchi wakati disikasheni pale nkhuruma ulipata alama 99% Shark na wewe kumbe wakati tunakuacha ktk mabenchi ulikuwa unapata mafunzo ya kujistili wakati pesa ya guest imekaa upande?sawa nimekubali?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…