Shariff Abdallah Attas na Mwalimu Julius Nyerere Sokoni Kariakoo

Wewe jadili mambo ya maendeleo kila siku atas mara bibi titi
Mna...
Mke wa Shariff Abdallah Attas Bi. Chiku bint Said Kisusa ni kati ya wanawake watano waliomsindikiza Julius Nyerere Uwanja wa Ndege safari ya kwanza UNO February 1955.

Wengine ni Bibi Titi Mohamed, Mwamvita bint Mnyamani, Lucy Lameck na Tatu bint Mzee.

Kwangu na kwa watu wengi historia hii ni maendeleo makubwa.
 
Mna...
Mke wa Shariff Abdallah Attas Bi. Chiku bint Said Kisusa ni kati ya wanawake watano waliomsindikiza Julius Nyerere Uwanja wa Ndege safari ya kwanza UNO February 1955.

Wengine ni Bibi Titi Mohamed, Mwamvita bint Mnyamani, Lucy Lameck na Tatu bint Mzee.
Kwanini majina ya wanawake wa pwani zamani lazima uweke neno Binti Mzee saidi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom