Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
Ukweli Hamad ni kifaa CCM wamekubali kuwa kuna vichwa hapa nchini havijafanyiwa repair yaani origino kabisa sio kichwa cha slaa kina viraka kibao UDINI,UKABILA,UBINAFSI NA................Zanzibar ni moja na wazanzibari ni wamoja daima ubabaishaji mwiko.
Nilisikitika hata mie baada ya kutangazwa matokeo yale, japo ndio hivyo ilishatamkwa Dr. Ally M. Shein Ndio Rais Mteule wa Zanzibar.
Hamad alipoitwa alipongeza ushindi huo japo alitamka dhahiri mbinu chafu za baadhi ya watendaji wa tume ya uchaguzi ( ZEC )
Hakika kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwake, aliamua kukaza moyo na kutoa kauli ya mdomoni kuwa Dr. SHEIN ametawazwa kuwa Rais na alisisitiza kwamba ktk uchaguzi huo hakuna mshindi yaani kama ungelikuwa mpira wa miguu ni matokeo ya sare au suluhu baina ya CUF na CCM.
Pembeni ya hapo kwa wale tulomtathimini kwa undani Maalim hasa usoni, alikuwa si yule Maalim mcheshi, mchangamfu na anayejiamini.
Alifanya kila jambo kama amelazimishwa au inambidi afanye hivyo kwani hakukuwa na njia mbadala.
Hisia na Mtazamo halisi wa Hamad (Sharif) umejionesha zaidi ktk machozi yalokuwa yakimtoka kila alipokuwa akizungumza, yalimchuruzika kwa vipindi japo aliweza kujikaza kisabuni asiangue kilio kikubwa.
Pole sana Hamad kwa kuumia, mie niliyaona machozi yako yalonipa ujumbe fulani ktk maisha.
Machozi ya mamba hayo, mwanamapinduzi huwa hakubali kirahisi hivyo, lazima kuna ahadi kapewa ama ni huo u makamu rais. Nataka niwaambie wazanzibari kuwa kwa kukubali kuvunja upinzani mmeiangamiza Zanzibar. Katika maswala ya utawala nilipitia kauli ifuatayo "Where there's no conflict, there's no development." Mahali ambapo hakuna migongano hakuna maendeleo. Kinachotakiwa ni regulate migongano isifike mbali sana na kuleta madhara. Hii serikali ya umoja wa kitaifa itawazidishieni umaskini, maana sasa hakuna wa kumwambia serikali umekosea. Haya shauri yenu.
hakujililia yeye bali umati uliokuwa nje ya hoteli ya bwawani, je wadhani angelikataa matokeo ya ZEC nini kingalitokea pale??? yaani kuishi nchi hizi:A S angry:hakutokwa na machozi ila aliongea kwa uchungu sana kuilaumu tume ya uchaguzi,hapa alidhihirisha kubali yaishe au kosa vyotevyote au aliye juu mpandie hukohuko
Pia huwa yapo machozi ya furaha, Umakamo wa Kwanza wa Rais, sii haba!, ni mwendo wa ving'ora!.Hisia na Mtazamo halisi wa Hamad (Sharif) umejionesha zaidi ktk machozi yalokuwa yakimtoka kila alipokuwa akizungumza, yalimchuruzika kwa vipindi japo aliweza kujikaza kisabuni asiangue kilio kikubwa.
Pole sana Hamad kwa kuumia, mie niliyaona machozi yako yalonipa ujumbe fulani ktk maisha.
Ndio maana nimeshauri, Dr.Slaa awepo kesho pale karimjee wakati wa kutangazwa kwa matokeo.hakujililia yeye bali umati uliokuwa nje ya hoteli ya bwawani, je wadhani angelikataa matokeo ya ZEC nini kingalitokea pale??? yaani kuishi nchi hizi:A S angry:
Migongano si ya nguvu bali hoja. Naamini hivyo ndivyo itakavyokuwa kwani vyama hivi japo vyote vinataka maendeleo ya Wazanzibari, mikakati yao ni tofauti. Maendeleo yatakayotokana na maridhiano ni kuaminiana na kuweza kufanya kazi pamoja. Kisera itakuwa ni maridhiano tu (compromis). kwenye maswala wanayotofautianaMachozi ya mamba hayo, mwanamapinduzi huwa hakubali kirahisi hivyo, lazima kuna ahadi kapewa ama ni huo u makamu rais. Nataka niwaambie wazanzibari kuwa kwa kukubali kuvunja upinzani mmeiangamiza Zanzibar. Katika maswala ya utawala nilipitia kauli ifuatayo "Where there's no conflict, there's no development." Mahali ambapo hakuna migongano hakuna maendeleo. Kinachotakiwa ni regulate migongano isifike mbali sana na kuleta madhara. Hii serikali ya umoja wa kitaifa itawazidishieni umaskini, maana sasa hakuna wa kumwambia serikali umekosea. Haya shauri yenu.
Ukweli Hamad ni kifaa CCM wamekubali kuwa kuna vichwa hapa nchini havijafanyiwa repair yaani origino kabisa sio kichwa cha slaa kina viraka kibao UDINI,UKABILA,UBINAFSI NA................Zanzibar ni moja na wazanzibari ni wamoja daima ubabaishaji mwiko.
tatizo lenu wazanzibar unafiki tu, hakuna zanzibar moja bali kuna pemba moja na unguja moja
Zanziba hakuna mshindi wala mshinda bali ni ushindi wa wazanzibar wote mwingine ni umbeya na upuuzi hakuna zaidi ya hili wazanzibar hatutaki uchokozi wala uchochezi.
Hamad alilia jamani! Au watu wengine huangalia midomo na mikono tu? Na kama watu mnakumbuka vizuri ni kwamba yule mchukua picha wa TBC Au ni Televisheni gani alijitahidi kuchezea kdogo rangi ikawa kama kahawia ili kupoteza uhalisia bt mie nilijaaliwa kutazama usoni kwa hamadi na hali nkiyasikiza maneno yake alokuwa akiyatoa...
Alilia Sheik... Alililia Hamadi jamani tuelewane.. SAWA SAWAA!