Nadhani furaha ya ushindi wake wa kishindo ni mwanaume wa shoka ngoma drooo na CCM simchezoNilisikitika hata mie baada ya kutangazwa matokeo yale, japo ndio hivyo ilishatamkwa Dr. Ally M. Shein Ndio Rais Mteule wa Zanzibar.
Hamad alipoitwa alipongeza ushindi huo japo alitamka dhahiri mbinu chafu za baadhi ya watendaji wa tume ya uchaguzi ( ZEC )
Hakika kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwake, aliamua kukaza moyo na kutoa kauli ya mdomoni kuwa Dr. SHEIN ametawazwa kuwa Rais na alisisitiza kwamba ktk uchaguzi huo hakuna mshindi yaani kama ungelikuwa mpira wa miguu ni matokeo ya sare au suluhu baina ya CUF na CCM.
Pembeni ya hapo kwa wale tulomtathimini kwa undani Maalim hasa usoni, alikuwa si yule Maalim mcheshi, mchangamfu na anayejiamini.
Alifanya kila jambo kama amelazimishwa au inambidi afanye hivyo kwani hakukuwa na njia mbadala.
Hisia na Mtazamo halisi wa Hamad (Sharif) umejionesha zaidi ktk machozi yalokuwa yakimtoka kila alipokuwa akizungumza, yalimchuruzika kwa vipindi japo aliweza kujikaza kisabuni asiangue kilio kikubwa.
Pole sana Hamad kwa kuumia, mie niliyaona machozi yako yalonipa ujumbe fulani ktk maisha.
Nadhani furaha ya ushindi wake wa kishindo ni mwanaume wa shoka ngoma drooo na CCM simchezo
Nadhani furaha ya ushindi wake wa kishindo ni mwanaume wa shoka ngoma drooo na CCM simchezo
Nilikuwa bored, hata sikupenda kuangalia usanii ule ningeumia roho zaidi...did he cry?
alilia mkuu!....Nilikuwa bored, hata sikupenda kuangalia usanii ule ningeumia roho zaidi...did he cry?
Nilisikitika hata mie baada ya kutangazwa matokeo yale, japo ndio hivyo ilishatamkwa Dr. Ally M. Shein Ndio Rais Mteule wa Zanzibar.
Hamad alipoitwa alipongeza ushindi huo japo alitamka dhahiri mbinu chafu za baadhi ya watendaji wa tume ya uchaguzi ( ZEC )
Hakika kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwake, aliamua kukaza moyo na kutoa kauli ya mdomoni kuwa Dr. SHEIN ametawazwa kuwa Rais na alisisitiza kwamba ktk uchaguzi huo hakuna mshindi yaani kama ungelikuwa mpira wa miguu ni matokeo ya sare au suluhu baina ya CUF na CCM.
Pembeni ya hapo kwa wale tulomtathimini kwa undani Maalim hasa usoni, alikuwa si yule Maalim mcheshi, mchangamfu na anayejiamini.
Alifanya kila jambo kama amelazimishwa au inambidi afanye hivyo kwani hakukuwa na njia mbadala.
Hisia na Mtazamo halisi wa Hamad (Sharif) umejionesha zaidi ktk machozi yalokuwa yakimtoka kila alipokuwa akizungumza, yalimchuruzika kwa vipindi japo aliweza kujikaza kisabuni asiangue kilio kikubwa.
Pole sana Hamad kwa kuumia, mie niliyaona machozi yako yalonipa ujumbe fulani ktk maisha.
Nilikuwa bored, hata sikupenda kuangalia usanii ule ningeumia roho zaidi...did he cry?
Yaa ni kama kichwa cha JK, UFISADI, UNAFIKI,UNDUGU, UFAMILIA Naaaaa.....!Ukweli Hamad ni kifaa CCM wamekubali kuwa kuna vichwa hapa nchini havijafanyiwa repair yaani origino kabisa sio kichwa cha slaa kina viraka kibao UDINI,UKABILA,UBINAFSI NA................Zanzibar ni moja na wazanzibari ni wamoja daima ubabaishaji mwiko.
Yaa ni kama kichwa cha JK, UFISADI, UNAFIKI,UNDUGU, UFAMILIA Naaaaa.....!
sio kichwa cha slaa kina viraka kibao udini,ukabila,ubinafsi na................
ndugu yangu msema ukweli tumia nguvu ya hoja na siyo kuibuka na unsubstantiated allegations na personal vendetta dhidi ya shujaa dr slaa.we unaushaidi wowote kuhusu tuhuma unazozielekeza kwa huyo mzee na mwanamapinduzi wa karne ya 21 kwa tanzania? Unaruhusiwa kukosoa kwa kutoa maoni yako lakini zingatia kwamba, you must learn to be wise, respect other peoples' views and stance and most important however, unatakiwa kufanyanya utafiti kabla ya kuzungumzia masuala ambayo ni tete na sensitive kwenye jamii.god bless you msema ukweli.
Sio kichwa cha slaa kina viraka kibao UDINI,UKABILA,UBINAFSI NA................
Ndugu yangu msema ukweli tumia nguvu ya hoja na siyo kuibuka na unsubstantiated allegations na personal vendetta dhidi ya shujaa Dr Slaa.We unaushaidi wowote kuhusu tuhuma unazozielekeza kwa huyo mzee na mwanamapinduzi wa karne ya 21 kwa Tanzania? Unaruhusiwa kukosoa kwa kutoa maoni yako lakini zingatia kwamba, you must learn to be wise, respect other peoples' views and stance and most important however, unatakiwa kufanyanya utafiti kabla ya kuzungumzia masuala ambayo ni tete na sensitive kwenye jamii.God bless you Msema Ukweli.