Wanasema Simba ni ya Warangirangi. Yanga ni ya Wahangaikaji (Waafrika)
Kwa Wana Simba wafuatiliaji, najiua kwa hii picha mtakua na tafsiri yake pana tena ya kina na vina
View attachment 99816
hapo sasa itakua shwari hamna SHARI
Hii timu yetu hii msimu ujao kuna hatari ya kukosa hata nafasi ya tatu, maana hawa jamaa wanafikiria kuuza wachezaji tu utafikiri sio timu ya ligi kuu badala yake ni soccer academy, maana mpaka sahivi first eleven ya mwaka jana waliobaki ni kama watatu tu yaani Kiemba, Chollo na Kapombe ambapo wawili nao wako sokoni kwa maana hiyo anabaki Chollo tu, itakuwa kama Arsenal kipindi kile walibakisha vijana tu na mtu mzima mmoja Thiery Henry.

Za,mani Simba ilikua ya Waarabu na Wahindi kama akina Azim, naona Yanga nayo imevamiwaWanasema Simba ni ya Warangirangi. Yanga ni ya Wahangaikaji (Waafrika)
kuna ambaye amejiuzulu kwa kumchukia mwenzie...unamjua?
najiuliza tu kwamba Kaburu si alijiuzulu? anafuata nn hapo? si ni msemaji wa Ashanti?Kwa Wana Simba wafuatiliaji, najua kwa hii picha mtakua na tafsiri yake pana tena ya kina na vina
View attachment 99816
umemsahau Haruna Shamte, Salim Kinje na Mwinyi Kazimoto
Simba ni airport like mwl j k nyerere int.airport!!Acha wachezaj wakatafute maisha mbele km kaseja anaachwa ktk mazingira km hayo,je kapombe asubiri nn??