Shari Hamna Shwari-Kwa Wana Simba Tu.........!!!!

Shari Hamna Shwari-Kwa Wana Simba Tu.........!!!!

Ndugu yangu Haruna Shamte ndo huyo anapelekwa kwa mkopo karibia kila msimu, kwa kweli timu yetu sasa hivi ni majanga matupu.
wengi wapo kimaslahi Simba ndio maana hakuna maendeleo, rumeingiza 500m hela ya usajili tunamtegemea Popo
 
Binafsi sijafurahi Kaseja kuachwa lakini na sisi mashabiki tunasahau kitu kimoja kwamba mkataba wake umeisha, kama zilivyo taratibu za ajira mkataba ukiisha kinachobaki ni makubaliano ya pande mbili kuongeza mkataba au kuachana, waajiri wake wameamua kumwacha baada ya mkataba kuisha, mbona wachezaji wengi wameachwa baada ya mikataba yao kuisha.
hata yeye alituacha baada ya mkataba wake kwisha akaenda Yanga, nadhani hapa ni kunya anye kuku.............
 
Hamia Mgambo FC etc
kweli kk kwan mpaka uwe shabiki wa simba wakat mjin zipo timu kibao kuna mbeya city na ashant zimepanda unaweza kwenda azam nafas zipo kwa mtani wanakuhitaji ili ukifungwa ukilia sana watakupa toyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom