BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,930
Dah ..mkuu sijui nikupe pole ama nini ...
ndio mana sishangai mdau mmoja humu naona aliumizwa sana na comments zake mara nyingi anasema ana wish huyo aliemuumiza afe akiwa macho wazi.
Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)
Maisha ni malengo mkuu.hata kama baadhi ya malengo yatakuwa hayajatimia hayo yatakuwa ni yale madogo madogo tu lkni yale makubwa na ya msingi ni vizur kuyasimamia.then you deserve the best... Naona unalengo moja tu, na hii inanifanya nikutofautishe na wengine
Dah, I wish I could be your mchepuko
No no no big no think how to solve the problem not being part of the problem mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo haiwezekani mkuu.sijawahi kuwa na mchepuko kabisa mkuu tangu kwenye mahusiano yangu yaliyopita.ila kwenye haya maisha tunayoenda nayo..inabidi nijifunze kwakweli.maana kwa ninayoyasoma huku naona hali ya mahusiano imechafuka
nakupenda sanaMkuu mahusiano yangu yaliyopita huwa sipendi kabisa kuyaongelea kwa kuwa yameniachia jeraha na kunifanya kupoteza mapenzi kwa mwanaume.
Inshort moyo umeshakufa ganzi mazima.inaweza ikatokea mtu akiniambia ananipenda naona huyu nae hana kazi ya kufanya sijui...n ghafla naingia chuki juu yake.
Mkuu mahusiano hayaeleweki aiseeh.kwanza humu ndani kwenyewe utasikia"unakuwaje na mwanamke mmoja"nini maana yake sasa.No no no big no think how to solve the problem not being part of the problem mkuu
Unajua fika siwezi kukuchukia baba.sema huwa inatokea mshipa wa malovee unakata kabisa.nakupenda sana
i hope hutanichukia
Nakuomba pm samahani lakinMkuu mahusiano hayaeleweki aiseeh.kwanza humu ndani kwenyewe utasikia"unakuwaje na mwanamke mmoja"nini maana yake sasa.
Tukubali hali imechafuka mkuu.kusolve tatizo ni mpka apatikane mwenye kufanya tatizo liwe solved.ukute unakutana na mtu ambae anakurudisha miaka 49ya uhuru yanini sasa.
Tumalizane hapa hapa mkuu.pm yangu mbovu haiingiliki.samahani lkniNakuomba pm samahani lakin
Anza na yoyote tu mkuuSijui nianze na ipi....
Same to me!The break up was slow but sure. Nilianza kuchuniwa taratibu taratibu, meseji hazijibiwi, mwishowe nikakubaliana na hali
FungukaSame to me!
Dah maneno yako yameniingia ipasavyo kwa kichwa...Hakika kamwe usimpende mtu kwa ajili ya kitu alichonacho bali mpende kwa jinsi alivyo hapo mtaishi kwa Amani na furaha na upendo utazidi maradufu ya hapoHilo nililolisema ni limoja tu.kuna mengi nilikuwa nayaona yamekaa kifakefake nikasema ngoja nimuambie hili ambalo ni kutokuwa na kazi akinivumilia basi niliwaza vibaya.
Loh kumwambia hivyo tu mawasiliano yakakatika bila taarifa
Ngoja nikwambie,kama mtu kakupenda kwa dhati,ushamba,uchafu,kutokuwa na kazi,na mengine yenye kuvumilika atayaona ni ya kawaida sana..atakuangalia wewe na namna ya kukutoa huko uliko.
Sasa huyu nilimwambia sina kazi vipi nipo nae halafu naumwa na kazin siendi atasimama na mimi kwa kipindi kirefu??
Mwenye mapenzi ya dhati yupo tu na kama ilipangwa kuwa na mtu fulani basi nitakuwa nae tu iwe isiwe
Yani ukimpata mtu mkapendana kwa dhati,,aiseeh usimuache.Dah maneno yako yameniingia ipasavyo kwa kichwa...Hakika kamwe usimpende mtu kwa ajili ya kitu alichonacho bali mpende kwa jinsi alivyo hapo mtaishi kwa Amani na furaha na upendo utazidi maradufu ya hapo
The Lattest one..Sijui nianze na ipi....
Wakati unaomba Mungu aufinyange upya moyo wako nikumbuke na mie kwenye sala zako.Mapenzi kitu kibaya sana yaani nimeshaharibika akili saiv kila anaesema ananipenda na kunionyesha ananipenda mi namchukulia poa tu kwamba niwalewale huwa nakubali kuwa na MTU kwenye mahusiano ili siku ziende kwasabu mi ni mwanadamu ila future sina kuolewa naona nikama jehanam inaniita,yaani mungu aufinyange moyo wangu nirudi kuwa binadamu
Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
Amina usijali muhanga mwenzanguWakati unaomba Mungu aufinyange upya moyo wako nikumbuke na mie kwenye sala zako.