Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Jerry wacha uhuni hahaha,,, ok elezea yoyote tu utakayoona itatoa funzo
Aside Marion skinks asubuhi akatafute si wa kulala na kuwa tech tvpole sana,
Kwahiyo sasahivi upo tayari kuishi na kidume kisicho na kitu ila awe na kauli nzuri tu?
Namanisha Permanent Head Damage (PhD) ===ingawa hujamaliza first degreeHahahah unamaanisha kumaliza level gani mkuu? Manake elimu haina mwisho
Kama moyo umempenda sioni tatizoMfano mtu mwenye kipato cha chini I mean, maybe muuza mkaa mitaani, muuza dagaa kwa kutembeza, muuza genge, mpiga debe n.k
Kama moyo umempenda sioni tatizo
Real definition of Play Boy,Mimi ndio huwa nina break-in na kubreak-out...yaani kila mwanamke huwa nina lengo nae flani labda kumla tu, au nijiegeshe nivune vijipesa au kama ni Waiter basi niwe nakunywa bia za bure. Sasa experience ni nyingi, ila break-out ya mwisho ilikuwa ni waiter ambae baada ya kunywa bia nyingi kama mwezi hivi, nikaona madeni yameanza kumuandama na bosi wake, mimi huyoooo nika break-out...nyie mwasema ku-break up.
Mwingine alikuwa sugar mummy ambae alitaka kulazimisha ndoa kabisa maana shoo yangu aliitaka kila siku hadi anataka animliki mazima, basi siku hiyo nikampa shoo ya mwisho takatifu then nika break-out kwa kumwambia anipe laki 5, alipokataa nikamwambia tafuta mwanaume mwingine.
Mkuu afadhali umerudi online aiseeh.watu walikuwa na wasiwasi sana mi nikiwa mmoja waowewe haujawahi?
Share nasisi mkuu
We jamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ndio huwa nina break-in na kubreak-out...yaani kila mwanamke huwa nina lengo nae flani labda kumla tu, au nijiegeshe nivune vijipesa au kama ni Waiter basi niwe nakunywa bia za bure. Sasa experience ni nyingi, ila break-out ya mwisho ilikuwa ni waiter ambae baada ya kunywa bia nyingi kama mwezi hivi, nikaona madeni yameanza kumuandama na bosi wake, mimi huyoooo nika break-out...nyie mwasema ku-break up.
Mwingine alikuwa sugar mummy ambae alitaka kulazimisha ndoa kabisa maana shoo yangu aliitaka kila siku hadi anataka animliki mazima, basi siku hiyo nikampa shoo ya mwisho takatifu then nika break-out kwa kumwambia anipe laki 5, alipokataa nikamwambia tafuta mwanaume mwingine.
Duh, huenda uimbaji ndio ilikuwa weakness yake, ulipaswa kujifunza kuimba hatakama ulikuwa na sauti kama ya churaNina version nyingi sana, Lakini ambayo imenikaa kichwabi ni ile ya kuachwa na demu, Demu aliniacha akakimbilia kwa mwanamuziki wa bendi kubwa mwenye jina,Iliniuma sana.
Aisee bahati mbaya sina sauti ya kuimba, nakumbuka babu yangu alikuwa anapenda sana kuimba, Baba yangu pia alipenda kuimba sana siku alizokuwa na furaha aliimba sana, mimi sina sauti ya kuimba.Duh, huenda uimbaji ndio ilikuwa weakness yake, ulipaswa kujifunza kuimba hatakama ulikuwa na sauti kama ya chura
Ouh! Unlucky you...Aisee bahati mbaya sina sauti ya kuimba, nakumbuka babu yangu alikuwa anapenda sana kuimba, Baba yangu pia alipenda kuimba sana siku alizokuwa na furaha aliimba sana, mimi sina sauti ya kuimba.
Aisee ni kweli mengi nimeepushwa, nikimuona kwa sasa nahisi hisi kuna kitu hakiko sawa kwenye Afya yake.Ouh! Unlucky you...
Ila piga moyo konde huenda yamekuepuka mengi