Share ujuzi wako katika Kupunguza Gharama za Ujenzi

Katika ujenzi Kuna kuokoa pesa ndani ya maeneo tofauti

Mfano
1.Acha kujifanya unamnunulia fundi Hadi chepe ambalo yeye ni kitendea kazi chake

2.Acha kununua Mbao nyingi kwa kufanyia ngazi mafundi au wakati wa kujenga kozi za juu ..nunua chache na zingine Kodi wakati wa lenta ..muhimu nunua tofali za kutosha zitasaidia kupanga wakati wanajenga juu

3.Nunua pipa au tank ambalo litahufadhi maji badala ya kukodi kila siku maana ukikodi siku unaanza msingi gharama zake zinatosha kununua pipa lako..wengine huchimba shimo la kuingia pipa 2 au tatu na hapo huna aja ya kukodi Tena

4.Leta tofali za kutosha site na usiweke ubahuli maana mafundi kama imefika saa nane tofali hazipo hiyo siku inakula kwako

5.Acha kupatana na Dalali/asiye fundi maana yeye ataweka Cha juu kama una imani nae na hesabu unazijua mpe kazi ila jua Kuna pahala itakula kwako au kubali umlipe kusimamia na si ufundi..ufundi ulipe mhusika yeye asimamie

7.Kama una muda na una uelewa wa kazi za ujenzi lipa kwa Tofali kwa kazi kama ujenzi wa fence au kama ni kuinua Kuta za vyumba baada ya msingi

7.Andaa chakula kwa kazi unazotaka lisipotee hata lisaa na isikuume hiyo elf 20 au 15 ya chakula Cha mchana kwa kazi muhimu ya siku moja..tunafanyaga siku wanamwaga zege au tunataka msingi upigwe siku moja au mbili

8.kama huna ramani zungumza na fundi kinaga ubaga nini unataka maana ujenzi wa kimasikini unaleteleza kuvunja au kubadili mawazo pale upatapo vijiela na hii ni kujiingiza gharama pasipo kujua

9.Pata wauza malighafi ambao Wataweza kukuletea mzigo site kuokoa gharama za usafili japo kwa kiwango flani

10.Ondo Ujuzi kujifanya fundi kaniambia misumali nchi kadhaa na kuwa unaifahamu matokeo yake unaileta anaikataa..Nenda nae au akuandikie ndipo ufuate..Nashauli kwa vitu sensitive nenda nae

11.Fundi au kibarua anayetapanya udongo kuwa makini nae Kuna mafundi anajenga akitupa udongo ktk joint utaukuta ng'ambo ya pili na ukiukusanya ni kama nusu kalai ..Hawa ni wafujaji

12.Njia za umeme ziwekwe mapema na mtu wa plasta atanguliwe na wa mageti,madirisha na blandaling.

13.Acha kujenga robo robo zungumza na fundi mjenge kwa Phases mfano..msingi phase 1,Kozi ya kwanza Hadi 7 au kufikia lenta pahase nyingine ..lenta phase yake na baada ya lenta phase yake nk

14.Usimamizi....Huokoa upotevu kwa kiasi chake..tazama haya fundi kaomba mifuko 10 kwa kazi ya mifuko 8 utacheka ukikaa site

Kibarua wa kujaza kifusi kaweka nyasi chini ukamlipa baada ya mvua na kama ulishapaua utakuta shimo ulipe mtu ajaze udongo Tena

Linta Ina nondo 3 kutoka nne za makubaliano au ni mm'10 badala ya 12

Umetoa pesa kununua Mbao fundi kaenda kukodi mbao

Umeambiwa mfuko mmoja tunakushauli tutoe tofali 35 au 38 unafika site unakuta mfuko uliochanganywa umetoa tofali 50

Wamama wanadai tukimwagilia maji pipa 3

Nikomee hapa wataongezea wadau ila wenye pesa msisahu hili

"Usije jihusisha na ulipaji wa vibarua ingia mkataba na fundi vibarua atajua yeye Kuna watu wanapigwa ktk hii kitu"

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kha mfuko mmoja tofali 50 hii balaa
 
Katika ujenzi Kuna kuokoa pesa ndani ya maeneo tofauti

Mfano
1.Acha kujifanya unamnunulia fundi Hadi chepe ambalo yeye ni kitendea kazi chake

2.Acha kununua Mbao nyingi kwa kufanyia ngazi mafundi au wakati wa kujenga kozi za juu ..nunua chache na zingine Kodi wakati wa lenta ..muhimu nunua tofali za kutosha zitasaidia kupanga wakati wanajenga juu
Uzi umeishia hapa.
 
And this is what I'm doing now. Hakika inasaidia sana kuokoa pesa na Kufanya kazi yako iende vile unataka
 
Hivi kwenye ujenzi wa nyumba kuna shortcut yoyote ya kusave gharama,kama zipo ambazo technically hazina athari lets share.
Ndugu Watesi wetu, Kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba, makanisa, warehouse nk tumia technology ya tofali za hydraform. hautajuta hata kidogo
 
Nipe email ama whatsapp yako

+447913376799
 
Attachments

  • LUKULU.pdf
    4.7 MB · Views: 42
Karibuni sana ndugu zangu.
Tunajenga nyumba, warehouses, Makanisa, viwanda nk kwa kutumia technology ya hydraform. Ni ujenzi wenye gharama nafuu sana, Imara, haraka na muonekano mzuri.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
Asanteni
 
Attachments

  • LUKULU.pdf
    4.7 MB · Views: 21
Mimi nina mpango wa kuagiza tiles zite,masink ya chooni,coated roofing na milango china bei poa na ubora ukilinganisha na hapa tz
 
Tunauza mbao kwa bei za jumla
2*4 fut 12=4400
2*4treated fut 12=4800
1*6 fut 12 = 4400
1*8 fut 12= 8500
1*8 ya fisherboard=9500
1*10=13500
1*10 ya fisherboard= 15000
2*2treated fut 12=2500
2*2 fut 12=2300
2*4treated fut 18=9500
2*6 fut 12=8500
2*6treated fut 18=16000
2*2treated fut 18=5000
2*3 fut 12=3500
1*4 fut 18=4000
1*4 fut 12=2500
Tunafanya delivery popote ulipo kwa Dar-es-salaam ,tunapatikana kwa namba hizi hapa 0759630751,
0654830416,
0687371138
vile vile huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu ..
Ofisi zetu ziko Mbuyuni -Bagamoyo road
 
Nikomee hapa wataongezea wadau ila wenye pesa msisahu hili

"Usije jihusisha na ulipaji wa vibarua ingia mkataba na fundi vibarua atajua yeye Kuna watu wanapigwa ktk hii kitu"

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna ubaya gani ukitumia namba yako ya simu PM mkuu?

I hope hakuna ubaya,naamini utanitumia na Mungu akubariki.
 
Hivi kwenye ujenzi wa nyumba kuna shortcut yoyote ya kusave gharama,kama zipo ambazo technically hazina athari lets share.
Kwanza hakikisha unasimamia ujenzi wako mwenyewe au Mke wako kama umeoa na awe serious na kazi utaokoa pesa nyingi.

Kumbuka katika ujenzi kila elfu 10 ina impact sana.

Mfano zilipelea mbao 100. Nikamtuma fundi akaniletee. Fundi hakujua kama nipo site. Akaleta Mbao 70. Mbao 30 akanipiga. Tayari 150,000 zikaliwa kimzaha. Fikiria kama nisingesimamia toka mwanzo ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom