Share to whatsapp

Share to whatsapp

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,334
Reaction score
16,788
habari!
nawezaje ku-share picha au video toka youtube kwenda whatsapp? msaada tafadhari!
 
Mkuu we idownload tu baada ya kuwa kwny memory card/phone memory then inakua rahisi ku-share!
 
Mkuu we idownload tu baada ya kuwa kwny memory card/phone memory then inakua rahisi ku-share!
mkuu unamaanisha siwezi kuichukua moja kwa moja kwenye mtandao then nika share!
 
nimejaribu kudownload kwenye laptop nikaihamishia kwenye simu imegoma kufunguka achilia mbali kushare!

Unatakiwa kudownload kwenye simu na kushare kwenye simu si mambo ya laptop tena hapo mkuu
 
nimejaribu kudownload kwenye laptop nikaihamishia kwenye simu imegoma kufunguka achilia mbali kushare!

Je unatumia player ipi kwenye simu yako. Na je hiyo video uliyodownload ilikuwa katika formati ipi?
 
Je unatumia player ipi kwenye simu yako. Na je hiyo video uliyodownload ilikuwa katika formati ipi?
nimedownload video toka kwenye youtube na ndo ipo kwenye simu!
 
Back
Top Bottom