Robbykan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 509
- 468
Yeyote anayeweza kunipatia hii simu ikiwa mpya naomba tuwasiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuzungumze kuhusu hiyo s7 uniuzie na mimi niache kutumia tecno jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nikitupa nabaki na ki button, najichanga nitafute simu nzuriTupa hiyo simu
Itakuletea wazimu tu
Mimi sizimagi kitu kinachoitwa data kabisa hadi narudi home daily simu zangu zinakuwa 45% ama 35%,zote ni iPhone,battery health zote ni 100%
Sent using IPhone X
Simu ipi Kiongozi?Yeyote anayeweza kunipatia hii simu ikiwa mpya naomba tuwasiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
A10s A20 upuuzi mtupu sijajua kwann watu mnazipenda hizi simuHiyo na A10s ipi iko vizuri zaidi mkuu?
Hio ni mentality ya watu waliyoijenga hasa kwa kuzingatia simu za nyuma km s4 na note 7, na sio kwa sbb nyingne bali battey capacity zilikua ndogo, pia kumbuka battery ya simu inashuka ubora kadr inavyotumika, wengi wanaonunua samsung wakiwa wanalalamikia battery ujue huyo kanunua Ikiwa refurb au mtumba kwaio hata battery health inakua ipo chini sanaa.
Na kwa sasa samsung ndio anaongoza kwa battery imara per usage, battery zao zinashuka kwa 2.5% kwa mwaka while kampuni nyingne nyingi ni 5%.
Ili uinjoy simu yako Chukua simu yenye battery angalau 3500mah IKIWA MPYA.
Lkn km hio simu ni flagshipe/high end kwa battery hio tarajia disappointment.
Sbb flagship nyingi zinakua na processor yenye uwezo mkubwa(hapa nazungumzia speed), refresh rate kubwa vitu ambavyo vina drain battery sanaa..
Ndio maana S20 ultra leo ana 5000mAh lkn ukaaji wake wa charge hauendani na battery kubwa kiasi hicho.
Wanaolia samsung hazikai na charge, wengi wananunua mtumba na refurb boss.
mpwa yangu kiboko mpaka saa tisa nipo kwa hewa lakini ngoma imefikia asilimia 81% OPPO A3S single line .. INTERNAL STORAGE 16GB ,RAM 2GB, PROCESSOR -UOooh inakaa masaa 24 data on
Wote mliosema hivo 80% mnawashaga data on afu sio watumiaji kivile yani unaweza washa data uka kaa lisaa lizima usiingia hata facebook
Au unawasha data unaingia mesenja unajibu ka text unatoka unatia cm mfukoni
Kwa kawaida yani hile hevy use cm ikijitaid masaa 12 labda mpaka 14
Hevy use hapa nazungumzia gaming, instagram yakutosha , youtube kwa sana nk. Yani unakomaa na cm
mtoa mada nae hajaeleweka anataka cm ya kazi gani maana sahivi kuna gaming phone na hizi smartphone
Huawei enjoy 10 plusBoss hii ni simu gani?
Chaaa, Boss hii ni oppo gani?