Share intaneti na rafiki yako kwa Bluetooth

Kwenye taasisi kama college,ambako Wi-Fi inaweza kutumika,hivi huwezi kutumia pasipo kutumia password zao?Mwenye maujanja,atujuze.
Siku hizi ni easy kujua passwords za hizo public WiFi na kujoin, bruteforce attack ndogo tu inahitajika sio kama zamani tech ime advance siku izi sema ni too risk ukikutana na IT Admin wa hiyo network ni mjanja sana nae watakudaka tu...

Tuendelee kuunga vifurushi tu au tumia mtandao husika kwa njia ya halali, achana na shortcuts na janja janja..
 
Tumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth

Umeshawahi kutumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth kupitia simu yako ? Najua wengi tunaotumia simu kwenye mambo mengi tu ila wengi hatujui tunaweza share intaneti kwa kutumia Bluetooth.

Watu wengi tunatumia njia ya hotspot kuweza ku share intaneti kwenye vifaa vingine lakini sio lazima unaweza tumia Bluetooth kuweza kushare intaneti kwenye kifaa kingine kama vile simu , kompyuta pamoja na tablet.

Kwenye simu zetu Kuna kitu kinaitwa Bluetooth tethering, ni njia moja wapo ya kutumia mfumo wa wireless kuweza kusambaza upendo wa intaneti kwenye vifaa vingine kupitia Bluetooth.

Tusema una bando Kuna mtu anahitaji kushare na wewe kidogo sio lazima uwashe hotspot unaweza tumia tu Bluetooth kuweza kushare intaneti na wengine.

Wala uhitaji password kuweza kuunganisha kwenye ivyo vifaa unafanyaje ku share intaneti kwa kutumia Bluetooth kupitia simu yako [emoji116]
• ingia setting kwenye simu yako
• Kisha hotspot & tethering
• utagusa kwenye Bluetooth tethering
• hakikisha data Iko Kisha kwenye simu nyingine inahitajika kupata intaneti awashe tu Bluetooth ikishakua connected anaweza tumia intaneti bila password

Pia unaweza tumia njia hii kuunganisha na kompyuta yako kuweza kushare intaneti kwenye kompyuta kama upendi watu uwatajie password ya hotspot yako.

Umeshawahi kutumia hii njia au ndo unasikia Leo tuachie maoni yako ? View attachment 2643734
....
 
Msema kweli Ni mpenz wa Mungu, leo ndo Kwanza nimepata somo hili. Thank you in advance🙏🙏
 
Teknolojia ni Yetu sote Naomba nisaidie jinsi ya kutoa mlio wa simu inavo kuwa inawaka, yaani iwe silent upande wa Power ringtones, natumia Spark 8C
 
Back
Top Bottom