Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
Wakuu naomba tujulishane hapa browser unayoikubali on your android device.Mimi binafsi natumia Uc browser tena naikubali sana just try it uone!!! sijui wenzangu mnatumia browser zipi karibuni
Dolphin browser
Kwa wale wenye mataizo ya low memory basi UC browser Mini ndio habari ya mujini,
Haifiki hata Mb 1 ukubwa wake lakini ipo very fast
hiyo mini na ile nyngne ucbrowser for android zinatofauti gani ?
cc chief-mkwawa