Hahaha eti wanasema chai jabaDuniani kuna mambo...hilo domo linaitwaje huku Uswaz ?
Kuna jamaa tulimpachika hilo jina wakati hilo tangazo linatoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi tena?Umenikumbusha mbali kidogo....
Chai jaba sio mchezoTangazo la chai jaba kideoni