Share a Coke with Domokaya !

Share a Coke with Domokaya !

Huyu jamaa kwenye romance akiwa anakula kiss na mtu anaweza funika sura yote
 
Jamani huyo mtu kwenye mambo ya mpunga si hafai?wakati wewe unanawa uanze kula yeye ananawa ameshamaliza kula
 
Haki ya nani huyo si mtu wa kupiga nae menu

Ukizingua..ananyanyua Sonia anatupia mdomoni
96cf54628550510ba02efb86854a80b5.jpg
 
Nasikia maandazi huwa anatafuna kama karanga 😀
 
Back
Top Bottom