Shape la haja

Jamani mbona munamkufuru Muumba wenu, kwani yeye amejiumba mwenyewe?

Angalieni musije pata laana.
Hiyo shape kaiumba Mungu au umeumbwa na ma burgers plus unhealthy eating and lack of exercises
 
Watu kama hawa wanakuwaga na mashariti kibao utasikia nataka Mme mwenye six pack halafu awe na inch.......
 
anapendelea kufanya mazoezi kuanzia kiunoni kushuka chini
 
Nataka kujaribu kama huyu siku moja nione inakuwaje.
 
Nimetamani sn kujaribu kama huyu siku moja.!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…