Shangwe kwa mafisadi papa

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Namna hawa majangili walivyochakachua kura inadhihirisha namna hawa mafisadi papa walivyo na nguvu,au wanafadhiliwa na freemason a.k.a viongozi wa ulimwengu?Watatumaliza hawa jamani,kama wanatuchagulia viongozi iko siku watakuambia wanamtaka mkeo sijui utazimia au
 

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Rafiki yangu husife moyo, pamoja na mafanikio hayo, hivi sasa wanahonja joto la nguvu ya umma. Unasikia nchini kote kuna msisimko wa ajabu. Mtu akiwasha kiberiti tu moto utafunika nchi nzima. Hii siyo dalili nzuri kwa hao mafisadi. Kwa bahati mbaya bado macho na masikio yao yameziba kiasi kwamba bado wanaendekeza njozi za kuendelea kubakia madarakani hata baada ya uchaguzi wa 2010. Karata yao ni kuendelea kuwatishia wote wanaodai haki yao kuwa wanatishia amani. hivi tujiulize hivi amani inaweza kuwepo bila! La hasha.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom