Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
Mid-Term Leave
Pacha daah sio poa bhana mbona unapotea namna hiyoKwa mfano wazazi wako waliachana ,kisha ukakulia kwa baba yako, moja kwa moja utawapenda mashangazi.
Umekulia kwa mama yako ,moja kwa moja utawapenda wajomba zako .
Na kama umekua mikonon mwa wazazi wote bila shaka Shangazi atakupenda sanaaa kama sehem ya kumuenzi kaka yake na mjomba atakupenda kama sehem ya mpwa wake.
Kwa mfano umelelewa familia za kiswahili swahili basi wote wawili wanaweza kua hawana maana kabisa.
Nkm umelelewa familia na ukoo uko vzur basi wote wanaweza kua wa maana.
Kwa ufupi Swali lako ni kuliacha kama lilivo tu yaan
[emoji117]Shangaz abaki kua Dada wa Baba yako.
[emoji117]Mjomba abaki kua Kaka wa mama yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi wengine bhan ni kama upupu yan mda wote wanakuwa wa motoooooKuna shangazi kivuruge huyo hahaaa...unaweza ukawa unamuona kwa mbali...unampigia simu anaiangalia na hapokei...
Ye yupo mkoani anaweza kuja dar mara 4 mara ya tano ndo anakutumia msg....niko ubungo njoo unisaidie mizigo hahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi wengine bhan ni kama upupu yan mda wote wanakuwa wa motooooo
Kwa mfano wazazi wako waliachana ,kisha ukakulia kwa baba yako, moja kwa moja utawapenda mashangazi.
Umekulia kwa mama yako ,moja kwa moja utawapenda wajomba zako .
Na kama umekua mikonon mwa wazazi wote bila shaka Shangazi atakupenda sanaaa kama sehem ya kumuenzi kaka yake na mjomba atakupenda kama sehem ya mpwa wake.
Kwa mfano umelelewa familia za kiswahili swahili basi wote wawili wanaweza kua hawana maana kabisa.
Nkm umelelewa familia na ukoo uko vzur basi wote wanaweza kua wa maana.
Kwa ufupi Swali lako ni kuliacha kama lilivo tu yaan
[emoji117]Shangaz abaki kua Dada wa Baba yako.
[emoji117]Mjomba abaki kua Kaka wa mama yako.
Umeongea kitu halisi kiukwel yan hapa mda mwingne tatzo la mashangazi ni Ishu ya kupenda au kutokupenda Wifi yao halo ndio huunganisha mpk watoto wa kaka yao au likaka lao kukosa msimamo wa maish kwa kuyumbishwa na mahusiano yake.Kwangu mimi mjomba naona ndio yuko poa, upande wa shangazi inategemea uhusiano uliopo kati ya yeye na wifi yake
Ni kweli kabisa baba na mama wakijitenga hata watoto wao automatically wanakuwa wamejitengaUmeongea kitu halisi kiukwel yan hapa mda mwingne tatzo la mashangazi ni Ishu ya kupenda au kutokupenda Wifi yao halo ndio huunganisha mpk watoto wa kaka yao au likaka lao kukosa msimamo wa maish kwa kuyumbishwa na mahusiano yake.
Niliwahi kuona kwnye msiba mmoja hv Mbeya yan Watoto wa mzee mmoja hv ktk familia hawahusishwi chochote kila kitu wanafanya watoto wa ndugu zao kuja kuuliza nikaambiwa kuwa wale baba yao alikorofishana na dada zake kuhusiana na mambo ya kusimamia misimamo ya mke wke.
Wajomba, kwangu wajomba wananijali mnoo mashangaz sitaki hata kuwasikia