Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Kuna vitu ni vigumu sana kuvielewa unakuta anazaliwa kwa usimamiz wa mamlaka analelewa na mamlaka anasomeshwa na mamlaka coz weki,asaiment,gpa na matokeo yanasimamiwa na mamlaka fildi mafunzo kwa vitendo chini ya mamlaka likizo akitaka kwenda USA au Canada mamlaka hadhi inayokufanya watu wakusikilize imechagizwa na hadhi yako ya mwanafamilia wa mamlaka alafu baadae unaikandia mamlaka,acha apumzishwe wamemfanyia mengi sana.Mpaka leo huwa naumia utafikiri ni mimi. Kwanini hasa Serikali iliamua kupambana naye bila sababu mpaka kumvua UWAKILI.
Kuna mijitu ni katili sana nchi hii,l.
Utulivu wa akili au moyo?Kherii, subra na utulivu = amani [emoji120].
We ni Shangazi wa HapaThey are friends and sometimes the do work together. Huyu pia ni shangazi. Anasema anaumia sana watu wanavyopiga magoti kumuomba huduma za kijamii yule mtu raia namba moja.
Hapo kwenye hulka anayozaliwa nayo binadamu nimependa hiyo dhana ila sijaelewaKuna kitu nilitaka kuandika ila nikahofia wataosoma wasichukulie naingiza mambo ya dini....
Maisha ni kuchagua....
Kuchagua ni kuishi.....
Wazazi wake na shangazi kwenye jamii bado wanaonekana ni washika dini na wanajisetiri vizuri tuu kama wazanziberi wengine.
Huu msemo haufanyi kazi mara zote, like father/mother like son/daughter....
Sijui jinsi alivyolelewa ila yawezekana kwenda kusoma nje au shule za magharibi (wazazi wana nia nzuri mtoto aelimike na baadae aje kuishi maisha bora zaidi yao).
Ila mtoto akishawishika zaidi ya jamii zaidi ya vile wazazi mmemlea.... ndo unakuta kama shangazi hivyo.
Hii huwakuta hata watoto wa wachungaji na mapadre na hata watoto wa raia wa kawaida tuu.
Pia, kila binadamu anazaliwa na hulka yake bila kujali umemleaje na kumsisitiza aishi maisha flani. Akipata upenyo ataishi na kufanya utashi aliozaliwa nao.
Niwie radhi kama nimekukwaza, nimesema vibaya dini nyingine au nimeonekana nimedhihaki.
Saa ingine huwa nashindwa kuelezea kilicho moyoni na akilini. Nnapokosa maneno ya kuandika nabaki kuhofia watanielewa nilichomaanisha.
Anyway, am outa here, narudi kwenye nyuzi zenye mahaba.
Cheers [emoji1635].
Hapo kwenye hulka anayozaliwa nayo binadamu nimependa hiyo dhana ila sijaelewa
Mie nkijua kuwa hulka hujengwa na jamii imzungukayo mhusika kumbe huzaliwa nayooo
So wapo ambao from the born time wanakuwa na hulka njema basi huenda ikaharibiwa na mazingira
Somo zuri
Thanks in advance
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Nimezipenda raba zake
Kuna kitu nilitaka kuandika ila nikahofia wataosoma wasichukulie naingiza mambo ya dini....
Maisha ni kuchagua....
Kuchagua ni kuishi.....
Wazazi wake na shangazi kwenye jamii bado wanaonekana ni washika dini na wanajisetiri vizuri tuu kama wazanziberi wengine.
Huu msemo haufanyi kazi mara zote, like father/mother like son/daughter....
Sijui jinsi alivyolelewa ila yawezekana kwenda kusoma nje au shule za magharibi (wazazi wana nia nzuri mtoto aelimike na baadae aje kuishi maisha bora zaidi yao).
Ila mtoto akishawishika zaidi ya jamii zaidi ya vile wazazi mmemlea.... ndo unakuta kama shangazi hivyo.
Hii huwakuta hata watoto wa wachungaji na mapadre na hata watoto wa raia wa kawaida tuu.
Pia, kila binadamu anazaliwa na hulka yake bila kujali umemleaje na kumsisitiza aishi maisha flani. Akipata upenyo ataishi na kufanya utashi aliozaliwa nao.
Niwie radhi kama nimekukwaza, nimesema vibaya dini nyingine au nimeonekana nimedhihaki.
Saa ingine huwa nashindwa kuelezea kilicho moyoni na akilini. Nnapokosa maneno ya kuandika nabaki kuhofia watanielewa nilichomaanisha.
Anyway, am outa here, narudi kwenye nyuzi zenye mahaba.
Cheers [emoji1635].
Kimbweta chake kitakuwa bado cha moto hilo ndio la.muhimuHuyu bibi mwarabu anafaa kwa matumizi sio haba-nawaza kwa sauti hapa.