Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Wee mtoto angalia mdomo huo!
"kupasuliwa" tena?
Mi mbona haijanikalia vizuri?
hahaa..halafu ulivyoitafisir umanifanya nione aibu
Wee mtoto angalia mdomo huo!
"kupasuliwa" tena?
Mi mbona haijanikalia vizuri?
BESTI NAOGOPA :frusty::frusty::frusty: MIE
Mara nyingi hua ananiambia Shangazi ni "Pasua!" au "Pasua kichwa" au "P.K"
Na tangu siku ya tukio hilo amemuongezea jina la "Mcharuko" na "Mtambo" hata hivyo ni majina ambayo anayatumia pembeni , si mbele yake!
BESTI NAOGOPA :frusty::frusty::frusty: MIE
Hivi kumbe na ww hua aibu uko nayo? Mi nakuonaga kama umkavu wa macho hivi!
we huoni mda wote nimeinama..hata kukutizama usoni naona aibu
Una maana kwa haibu (aibu) hizo huyo figganigga atavipataje vya kabatini mwako? Au ndo atakua anavila kimyakimya na aibu iko palepale.
Vin Diesel ni mume halali wa Heaven on earth..
Shindwaaaa.... Shindwa tena na ulegezwe kunako sehemu zako!!!
Basi kama ni hivyo wanaoolewa kanda ileee wawe wanapewa zawadi alizotaja Heaven on earth!!!
Mbona mie wangu ni wa huko na mpole balaa!!! anani handle with care yuko so romantic,, sijui hata kofi ila ana wivu sana!!! sio wote hizo ni story tu...
Mkong'oto wake hata hauumiziWewe B52 hajawahi kukupa manundu!
Au mkong'oto wa ado'ado?