Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Scoby ni rafiki yangu , tumekua nae mtaani.
Kwao ni kama kwetu , kwetu ni kwao pia , nimwitae mimi Baba ni Babaake pia , amwitae yeye Mama ni Mamaangu pia. Ndivyo tulivyokua na sasa tu watu wazima , na kila mmoja wetu ana mji wake.
Scoby ni zaidi ya rafiki kwangu.
Wiki iliyopita kulikua na harusi ambayo Shangazie Scoby ambae nami ni Shangazi , alikua ameivalia njuga kuishiriki.
Mie sikuwepo siku ya harusi inafanyika , Scoby alikuwepo.
Wakati Shangazi anapanga zawadi zake za kwenda toa ukumbini , kwa bahati Scoby alitokea na kumkuta Shangazi yetu kunako box la zawadi kuna Bandeji kadhaa , Plasta , Iodine , G.v syrup ya vidonda, na Dawa nyingine aina aina zitibuzo injury.
Scoby ilimshtua hali ile.
Ikabidi amuulize Shangazi kulikoni zawadi za sampuli ile?
Jibu la Shangazi :-
"Huyu binti wa Shoga yangu anaolewa na Mwanaume wa Kikurya toka Mara, unategemea nini! Tusimpelekee vitu kama hivi?"
Siku chache mie niliporudi ndy Scoby ananihadithia story hii , aidha Scoby hadi sasa hakubaliani na zawadi ile ya Aunt. Ambapo mie nakubaliana % 100 na zawadi ya Aunt.
Vingievyo nashawishi kama sio kuwarai huu uwe mfano igwa kwa harusi zetu, itokeapo tunawaoza mabinti zetu wanaume toka kanda zile .
Ukisikia aoae ni Mwita , Marwa , Chacha , Matiko , Maranya basi peleka zawadi kama za Shangazi.