mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Mapenzi ubunifu Yan nimetoka Moyo wakeNawe umevaa shanga!!! basi sawa.
Ukiwa na ngezi ubongo huwa haufanyi Kazhahaha we mkuu unafikilia kwa kutumia kiungo gani cha mwili
Mi nimecheza na akili za huyu Demu tuYani we mwanaume unavaa shanga tena zenye kengele!!
Mwishowe si utageuzwa sasa
kwa kuvaa shanga kiunoni?Mi nimecheza na akili za huyu Demu tu
Nishaivua ile huwa yavaliwa wakat was Mambo yetu afu yavuliwaWeka picha tuone hiyo shanga moja uliyovaa ilivyokupendeza Mkuu
Huyu Demu nimemuelewa mkuuSoon utavaa bikini ili ngoma iwe droo na huyo manzi.
Daaah kama mimi mkuu nimecheka kinooomaa kwa sautDah!!..nimejikuta nacheka tu.
Wakuu nimenasa kwa huyu mrembo Yan kavaa mishanga kibunda afu ana ngezi Kama zote, yaani kwa mahaba nami nikavaa shanga moja Ili twende sawa afu shanga yenyewe ina kengele ,yaani miuno feni kinachosikika ni milio ya kengele tu ngengenge duh tanga sihami
Ndo jina langu kakaHarafu unajiita "mumewangu"
Unajisikiaje ukiwa umeivaa?Nishaivua ile huwa yavaliwa wakat was Mambo yetu afu yavuliwa
Unajisikiaje ukiwa umeivaa?