Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,149
Jamani shanga ziendelee kuheshimiwa kama zilivyoanza.hivi sasa kumekuwa hakuna kabisa ladha wala umuhimu wa shanga kiunoni!!tusifanye kama maonyesho ya sabasaaba juzi nilkuwa mr price wana ounguzo la bei pale game kama una muda karibu nikaingia chumba cha kujaribishia nguo nikapishana na binti mmoja
gafla nikakuta shaaaaaanga za nguvu zimemwagika huku likanda lake la plastic likisasambua,nikasema jamani huyu kavua na shanga zake kabisa likamkatikia jamani muwe mnazikaza..sio umnenunua ndio basi kiunoni zinakazwaga sio mpaka zikukatikie kwa hawara yako/mumeo...maslani napanda gari kueleke home nakuta binti moja kavaa ki top mnavyokijua ,jamani shanga zinaelea kama samaki wa magufuli...lohhh!!!hamad watu wakajazana kupishana pishana binti zikamkatikia wacha aombe kushuka kituo sio chake akaambiwa atujafika ...watu wakaona anahangaika kweli nini ile asogee kidogo zikaanza nazo kusasambua kama mnavyozijua jamani ya manjano nyekundu kigreeen we ilikuwa hamu hamu!!!!
watanzani walivyo wambea wasiziheshimu enzi zetu za ujana uwezi ropoka ati umedondosha shanga dada wa watu akaoigiwa kelele dada dada umedondosha zigo lako huku!!!hamada ata kuangalia nyuma sijui ata aliishia wapi ......allah amsitiri dada yule
ewe dada jamani shanga azivaliwi kila sehemu we unaenda kazini shanga zimekujaa kiunoni kunani!!hata vya fasta ladha ya shanga aisikii kwenye desk wale wa aibu yako yangu aiu yako!!!!!!!!
Vaeni sehemu inayohusika na nyie mnajua mko na shanga kutuvalia vitop ndio nini tumeomba kuangalia rangi zenu jamani@###jirekebishen madada ata kama uko kwenye zile biashara zetu angalia muda wa kuvaa vitop vyenu!!!!!
usiku mwema