Ndugu wanapiga vizinga sana yaan sana hapa nina vizinga vya kaka, baba na mdogo wangu wa kike...Huyo ukute amelenga ndugu zake Sana Sana
Akina Ebony Ford au Wabogojo!Huyo ukute amelenga ndugu zake Sana Sana
Nimezistudy sura zao nimebaki kufurahi!Kama kaka hakimi vile, Nae Hana kitu[emoji38]View attachment 2591717
Mwanaume akikwambia, wewe ndiye kitu changu cha thamani pekee dunia...umeumia😂😂😂😂Nimezistudy sura zao nimebaki kufurahi!
Sura ya hakim umejaa bashasha na furaha,haina wasiwasi,ukiingalia vizuri Kabla hatujajua mipango yake tungesema Hakim kakamatika Sana na bi dada Yuko I love🤣🤣kumbe ulikuwa bashasha ya kutokuwa na wasiwasi wowote
Upande wa bidada sura yake imekaa kimkakati Sana yaani unamuona kabisaaa Kuna mipango kichwani mwake humo🤣bahati mbaya mission impossible
[emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23]Mwanaume akikwambia, wewe ndiye kitu changu cha thamani pekee dunia...umeumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapendwa, uso ws mtu huongea kila kitu kimjazacho moyo, sema watu tu wabishi sana kuukubali ukweli.
Mimi kabla sijadeti na mtu huwa nakusoma uso, haijalishi utatamka mara ngapi kuwa wanipenda....taarifa ya kupendwa au kupangiwa mipango huwa naisoma udoni mwa mtu wangu haha
Joannah
Hawa viumbe baadhi yao ni majambazi kupitia neno mapenzi, ukichunguza vizuri yaani hata hupendwi wewe bali mfuko.[emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23]
Na mwanamke akikuita Honey, kipenzi changu, wa ubani, wa moyoni duuu yote hiyo utume hela
Kweli kuna utapeli na sio mapenzi
Anaekupenda hana shobo zote hizo
Hiki nilikuwa nakifikiria pia.Huyo ukute amelenga ndugu zake Sana Sana
Hao baadhi wameshinda [emoji1]Hawa viumbe baadhi yao ni majambazi kupitia neno mapenzi, ukichunguza vizuri yaani hata hupendwi weqe bali mfuko.
dronedrake amejikomboa kutoka huu utumwa.
mzabzab yeye anabadilishana nipe nikupe.
DeepPond yeye zaidi ya kodi ya meza na kulipia mahali pa kumchinjia mamajay basi mengine hataki kusikia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😎 Hewallaamejikomboa kutoka huu utumwa
Sure!sura ya mtu unaongea Sanaa!tena mtu mpya ndio utajua kabisa Kama ana Nia ovu au njema angalia macho yanasema kila kitu Ni vile tu watu huwa tunapuuzia kukubali ukweliMwanaume akikwambia, wewe ndiye kitu changu cha thamani pekee dunia...umeumia😂😂😂😂
Wapendwa, uso ws mtu huongea kila kitu kimjazacho moyo, sema watu tu wabishi sana kuukubali ukweli.
Mimi kabla sijadeti na mtu huwa nakusoma uso, haijalishi utatamka mara ngapi kuwa wanipenda....taarifa ya kupendwa au kupangiwa mipango huwa naisoma udoni mwa mtu wangu haha
Joannah
Uwenda wanamuomba game wampelekee moto ila yeye anadhani wanamuomba pesa
Mwigizaji Shamsa Ford amesema watu wamekuwa wakimpigia simu na kumtumia ujumbe kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kumwomba fedha.
Nyota huyo alisema kuna mtu aliomba amsaidie Sh milioni 22 akamalizie nyumba yake, akisema yeye hana fedha kwani anapambana na mikopo ili maisha yake yaende.
“Hii ni mara ya sita kupigiwa simu na meseji nyingi kuniomba pesa. Huyu wa leo (jana) alisema anaomba nimsaidie Sh milioni 22 akamalizie nyumba yake, mimi mbona sina mbwembwe zozote zinazoonesha nina pesa,” alisema na kuongeza:
“Jamani kuonekana kwenye televisheni haimaanishi nina pesa nyingi. Mimi mwenyewe napambana na mikopo, michezo ya vikoba ili maisha yaende, ndugu zangu punguzeni kuniomba pesa sina kitu,” alisema hayo Dar es Salaam jana.
Shamsa amekuwa akiigiza kwenye tamthiliya mbalimbali za televisheni na pia ni mjasiriamali wa nguo. Amekuwa akifanya shughuli hizo kuendesha maisha yake kwa muda mrefu.
HABARI LEO
Hivi huwa unawaamini bongo movie mkuu?anatafuta kusikika huyo,maana hata huyo ndugu wa kuomba mln 22 Ni ndugu gani?amekuwa Mo yeye au AsasInawezekana vipi mtu baki tu akuombe M 22 kumalizia ujenzi wa nyumba yake kama siyo ndugu au mtu wako wa karibu sana.....???!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23]
Na mwanamke akikuita Honey, kipenzi changu, wa ubani, wa moyoni duuu yote hiyo utume hela
Kweli kuna utapeli na sio mapenzi
Anaekupenda hana shobo zote hizo
inaitwa msg sent hiyo hasa kipindi hiki cha Eid.Huyo ukute amelenga ndugu zake Sana Sana