Yaani umenichekeshaa
Yaani kisa una stress watu wasimamishe mambo yao?! Zembe sana we jamaa.
Pole sana๐๐๐
๐๐๐stress woooii
Pole sana
Ukiona wewe leo mahusiano kwako ni changamoto jua wakati wewe uko totally "inLove" kuna wenzio walikuwa wana stress kama ulizonazo wewe leo,.maisha ndivyo yalivyo so tulia tuu...usipanic saaana
๐๐๐๐mfyuuuhizi stress ni balaa unaeza ukameza topaz.. Ngoja niangalie season ya legend of the seeker, huyu Z noma sana zaidi hata ya mother confessor
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi natafuta mwenye stress kama zakoValentine ! kila saa valentine! inamana hamna vitu vingine vya maana vya kuzungumzia mwezi huu zaidi ya huo upumbavu wenu wa valentine? mnachochea mapenzi tu ambayo kibongobono hatuna.
yani kama mimi nna mastress yangu ya mapenzi na kila kona nikipita ni valentine tu natamani nipasuke yani.
WODE WANAOCHOCHEDE VALENTAIDE KUMAMADE ZADE WODEEEE
Sent using Jamii Forums mobile app