Mmmmh hiyo mie siiafiki inaweza kuleta shida ebu Red gurds controo hao mamoghoo!
mkuu hiyo amani kaa nayo huko huko dar,huku wana ka nchi chao!Ni kweli kabisa mkuu, lazima tusherehekee ushindi wetu kwa njia za amani ili kuzidi kuwadhihirishia kina Lusinde na wenzake kwamba hiki chama makini - viongozi makini & wanachama makini!
chadema ibarikiwe na iendelee kudumu
Ni kweli kabisa mkuu, lazima tusherehekee ushindi wetu kwa njia za amani ili kuzidi kuwadhihirishia kina Lusinde na wenzake kwamba hiki chama makini - viongozi makini & wanachama makini!
Sera za chadema nazipenda sana lkn kinaniboa zaidi ktk suala zima la ubinafsi udini na ukabila, wala hakuna ubishi chama hiki kitapoteza dira