Shamra shamra za mkutano wa CCM zimeanza

Status
Not open for further replies.
Tunataka kusikia deni la taifa litalipwaje (22 trillion), tunataka kusikia hela za EPA zimerudi zote na watuhumia wako mahakamani, tunataka kusikia majina wa waliohusika na biashara ya kusafirisha wanyama hai, tunataka kusikia majina ya polisi waliohusika na mauaji ya raia wasio na hati huko Arusha, Nyamongo na Songea na hatua zilizochukuliwa.
 
Wewe kwa akili yako ilivyo unadhani watu wanataka kuvamia kituo cha polisi na kupora silaha unadhani jeshi la polisi litachukuwa hatua gani?

sidhani kama wafuas wa cdm waltaka kufanya hayo katka mkutano wao pale jangwan, labda uniahakikishie.
 
tunataka kusikia deni la taifa litalipwaje (22 trillion), tunataka kusikia hela za epa zimerudi zote na watuhumia wako mahakamani, tunataka kusikia majina wa waliohusika na biashara ya kusafirisha wanyama hai, tunataka kusikia majina ya polisi waliohusika na mauaji ya raia wasio na hati huko arusha, nyamongo na songea na hatua zilizochukuliwa.

waseme na wale polisi waliotuhumiwa na mengi wamechukuliwa hatua gani
 
Kweli hilo ndo unataka wanabodi hapa tujadili?

Dah, hvi ni nani aliyewaroga nyie "wanasiasa" vijana hadi kuamini katika siasa za kusikia?
Katika kasi ya dunia ya sasa, wenzetu wapo wanawajibika kujenga nchi zao, viongozi wanatoa maamuzi magumu juu ya nchi zao, mataifa yakijiimarisha na teknolojia na kuachana kuendana na utendaji wa mazoea....
We unatuletea porojo za eti wanabodi wa JF tuotee nini wtz wanataka kusikia!

Vijana wa hii nchi chonde chonde tupate akili na maono, wtz hawana wanachotaka kusikia kutoka kwenye chama chenye serikali toka zama za misingi ya taifa hili.

Wasikie nini? Ndoto? Mipango? Lawama? Kushindwa? Matusi?

Makonda we ni makini zaidi ya hapa, kukaa kwenu kwenye mahaba ya Chama kuna wanyima ujasiri mmebakia kuwa watu wepesi sana na inahalalisha kutukanwa kila aina ya matusi.

Ona ulichokianzisha hapa jamvini.
 
Chama tawala kimekuwa kama mfalme aliyekufa na yuko mochwali,wananchi tunasubiri mazishi ili ateuliwe mfalme mwingine.
 
Polisi hutoa tahadhari kutokana na intelijensia wanayoipata.

Kwa watu wa shari na fujo kama CDM ilikuwa ni order sahihi! ila kwa ccm lini umesikia wamefanya fujo kwenye mikutano yao?

nikumbushe fujo iliyotokea kwenye mikutano ya cdm
 
matusi ya lusinde....kama wameshindwa kutekeleza hata wakiongea leo hawana maana
 
Kumbe ni maneno tu ya watu,chama cha CCM kina mvuto mkubwa sana kwa wananchi,ukitaka kuamini angalia viwanja vya jangwani wananchi walivyofurika kusupport chama chao
MY TAKE;Wapinzani msichukulie poa 2015,naamini bado ccm watafanya vzuri.
 
Kumbe leo tena CCM wanaendelea kuhaidi badala ya kutuambia wamefanya nini hii ni aibu sana kwa chama kilichotawala miaka hamsini.
 
[h=2]
icon1.png
ccm kuanzisha al shabab mikoa ya pwani[/h]
KATIKA HALI YA KUWAGAWA WATANZANIA CCM IMEANZA KUWATUMIA BAKWATA KUWAGAWA WANANCHI.WAZIRI WA ELIMU NI MUISLAM MAKAMU WA RAIS MISLAM KATIBU ITIKADI CCM NI MUISLAM,RAIS WA NCHI MUISLAM MKUU USALAMA WA TAIFA NI MISLAM SASA VP LEOBAKWATA WASEME WANA FELISHWA HIZI NI MBINU CHAFU ZA CCM KUWATOA WANANCHI KWENYE WIMBI LA MAGEUZI YA KISIASA NA KUIINGIZA UDINI KWENYE JAMII NI HATARI NA NI LAANA KWA HAWA WANAMTANDAO HUU TUNASEMA ILI TANZANIA IWE NA AMANI 2015 CCM LAZIMA IONDOKE ISITULETEE MAAFA.WAMEANZA UAMSHO NA HAKUNA KARIPIO KALI LILILOTOLEWA KUONESHA CCM INAVYOHUSIKA VILIVYO KABLA YA UCHAGUZI 2015 WASHINDWE WALEGEE NA WASAMBARATIKE.MUNGU IBARIKI TANZANIA:confused2:​
 
watanzania wanataka kusikia mwenyekiti wa ccm amekifunga chama, ndiyo mwisho wa ccm, wanachama watawanyike kwingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom