Shameless man and evil woman, Some men are beyond stu.pid

Shameless man and evil woman, Some men are beyond stu.pid

haa, mbona unashangaa sana huo msamaha, si kamsamehe tu maisha yanaendelea, watu wanasamehe wauaji sembuse kibuti, mama kanumba na lulu si mabeste.
back to u now, kwanini unawaita majina mabaya, mara bastard, shameless man, evil woman etc mpaka nahisi ww umekasirika vile umepokonywa tonge mdomoni, huyo kamsamehe mwanamke wake sababu alimpenda na hata kama mtoto asingekuwa wa bookworm bado angesamehewa tu, luv's blind wanasemaga, mpaka alimwaga machozi alivotoswa si mchezo, ni upendo mkubwa huo,
pole bana njiwa ashapeperuka huyo.
 
Who cares what you NOBODY thinks! I seriously don't. Keep ya advice for ya folks. Psheeeeeeew!

it seams you are pissed off with my comment,anyway i dont give a shirt even if you don't care.
 
women will always remain to puppets!
So Lara1 mpango wako vp? Jipindue kwa "the old baboon" upanguse udambwi dambwi!!
 
Uandishi wako (am sorry lakini) siupendi lakini hiyo title imenifanya nisome contents zote,uko sawa madame ila kumbuka kama we si mcha Mungu wapo watu evil ones( kama usemavyo) they can make u stupid if not crazy kwa kutumia charms.Hapa kwetu kuna mganga anatangazia watu kupitia Radio eti ana dawa ya kumfanya mume akuwaze wewe tu na unamdhibiti asifurukute inaitwa "shuntama"ni full majanga ukikutana na mtu anayeyatumia madudu hayo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mmmmh,umeandika kingereza kigumu hicho. Nimetoka kapa!!!! Anyway nalog off... Maimuna
Hahahahahahahaha duh.
Usilog off gangamala mkuu google neno moja baada ya jengine mpaka utapata maana
 
Hahahahahahahaha duh.
Usilog off gangamala mkuu google neno moja baada ya jengine mpaka utapata maana

Ablessed nimejaribu hilo neno la kwanza nikiunga sentensi haileti maana. Sasa ngoma ni pale mwisho,'I dont give a shirt'yaani ndo nimepata kizunguzungu. Nime surrender mkuu. Kwa uandishi huu,we still have a long way to go...
 
Hahahahahaha taratibu tutafika walisema pole pole ndio mwendo.
 
Namaste😛ray2:

Nisiwachoshe na intro manake hii khabar yenyewe ni ndefu sana, Resolution yangu ya mwaka huu 2014 ni more CLASS(As if class can be bought! class is just a social prejudice invented by some shamess people whose humor has no sense at all to try n imply THEY ARE SIMPLY BETTER THAN OTHERS! Of which is outrageous!) AND LESS USWAHILI (Mjaa asili haachi asili yake, na akicha asili asi hana akili! ni muathirika wa NEO COLONIALISM! How come their culture is always better than ours!? Uzungu uzungu huu watu wanakuwa MAGOVINDER KUMMAR, MAOKA YA KIBISA, ROUND 1, wakati babu zao dawa wanazo. ) Uandishi wa khabari hii utahusisha USWAZI kidogo.

Basi bwana back in the days like 2010, tulimalizaga na bibie mmoja chombo cha haja, na bookworm mmoja hivi. Hawa watu walikuwa wana date like since first year, full kupendana! Full Mwanaume alikuwa busy vibaya mno, Kumuadikia bi dada asigment zote, kumfundisha after class! Alijitoa kweli kweli kuwa Desa point! Bibie alikuwa busy kula maisha ya jijini hapa! (At that ripe age who would blame her!? Specifically not me!)

Basi bwana baada ya kumaliza chuo, ukafata ukata mkali sana kitaaa! They held on! Bibie baadae sababu yuko well connected akapata kazi nzuri tu kwa wazungu akawa analipwa in Pounds.Wenzie exchnge rate ikitubana pichu yeye anashangilia. Kama mjuavyo ukipanda daraja kimaisha there are some people YOU JUST HAVE TO CUT THEM LOOSE!! Its not like you are being rude or somethin, but its a necessity if your a.ss wants to remain on top of the game If you play too kind they will drag you down n beat u with experience! A sister did what she had to do! (What? Feeling sad for the dude? life is bi.tch he should get used to it! If u just have to blame somebody TRY HIS ILL FATE!)

Cutting people lose hio sio swala baya kihivo, We all cut people loose once in a while! But how do we cut them loose? That is a point of vital importance. Basi bwana sababu yule kaka alikuwa BROKE A.SS akawa so depressed, and RUDE if i have to honest. Ikawa ipossible kwenda nae mahali na kufanya nae converation. Like one day nilibambana nao kwenye viota vya jiji tukawa tunakunywa wa 3, and he like bursted "Can you imagine NYIE VILAZA MNA KAZI ZA MAANA N ME KIPANGA SIAJIRIKI? FU.CK LIFE blah! blah! bah!" ilikuwa so embarrassed!!! Yaani kama anamblme yule dada for HIS ILL FATE! Nikaamua nifanye tu utani kwa kumwabia" Woo! Taratibu, mkeo ndo ana kazi ya maana, mi naganga njaa tu pale, nionekane asubuhi nimeoga na kutoka ndani. Ila mishahara haigongani bank!) Tukabonga mambo mengine usiku ukapita.

Kuna sku nikakutana na yule bibie, akaniambia maisha na bookworm yameshindikana, he is simply impossible kuishi nae. Amekuwa bitter person mtu wa kulalamika tu, anamfanya ajisikie guilty na mafanikio yake.! She is not gettin any younger, kamsubiria boo worm in 2YRS lakini haoni hope yeyote! She wants to move on, she met a man, ana jikazi lake, older, matured and she likes him, amepropose nae kakubali! Mi nikajibaraguza baraguza pale na kuunga mkono swala zima! (What? Dont try to blame me! She was my friend and not HIM! What are friends for?) Kama masihara HARUSI ILIFUNGWA mid 2013! Nilikuwa naumwa sikwenda. But it was HUGE! Niliishia kulike facebook na ku comment.

Basi after wedding yule kaka kuna siku alinipigia analia machozi, akaniambia rafiki yako kanifanya vibaya. Blah blah! Ametoa mimba zangu 3 (Dont even act like this surprised you! You know times have changed). alafu kaja kuniambia anaolewa sababu ana mimba ya huyo mtu mwingne! Michozi kibao. I suck in comforting people. Nikampiga bah! blah! blah! maisha hivi na vile. Nikamwambia kwa alichokufanyia ukitaka kwenda kumloga niite nikushikie tunguri, na kukusaidi kupuliza vimfikiefastaaa! Hahahaaaaaaa! . Nikakata simu. Ila kiuweli nilimuhurumia kijana maisha hayajamtendea haki. But siungi mkono kitendo cha dume zima kuwa whining like a little baby kwenye simu badala ya kuwahi church kurvers mambo. Well we all have OUR PROBLEMS but life has to go on.

Nikawa nishawasahau, yule bibi akajfungua toto zuri dume la mbegu, mwezi wa 8 mwaka jana. Sikwenda hata kumuoa nikaishia kulike face book. (I know i am a terrible friend, but not that terrible, was still sick) Nikawa nimeshawasahau kama wana exist duniani. (Ndo urfiki wa jijini huo!) Hamad this January yule kaka kapata BONGE LA KAZI! Navosikia sikia tu ni kuwa gig ya ukwee kinoma kwa wazungu gani sijui. Mi benefit ya kufa mtu, mpaka holiday package. Nikasema good for him! AT LAST! JAPO THE TIMNG MAY BE WORST lakini its better late than never. Kimoyo moyo najisemea KARMA might be really a bi.tch but this time she isnt. With his new INCOME STATEMENT sio mbaya nikienda kurith mikoba ya shosti! I AM A MERCIFUL PERSON AFTER ALL especially pale ambapo BENJAMINS zinahusika! With his new found empire it will be so unfair and heartbreaking for such a young man like him to be seen ALONE and LONELY while i the GOOD OLD FRIEND can definitely do something about it. Ndo nikaanza kujifanyia LOGISTIC ZANGU binafsi za kuingiza kingi bookworm.

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Yule dada alivokosa haya baada ya kusikia yote hayo si kaja kivingine! Kaona yeye katska we! Waje watu wengine kufaidi? Thubutu! Kamplay kaka wa watu THE FOOLS CARD! Kafanya manuva manuva mpaka kaenda kwa yule kaka wakakaa na kuonge! Eti! Eti! Eti! MTOTO NI WA BOOKWORM!? Makubwa! Madogo yana nafuu. Eti sababu Bookworm hakuwa na maisha kipindi hicho aliamua kuolewa na yule Ntu nzima na kumbambika mtoto ili mtoto apate maisha bora! Mmh! YUKO TAYARI NA STANDBY KUPIMA DNA kama atakubali warudiane, kama hataki warudiane for od times sake, afanye kama hicho kikao hakikutokea! Na asimuharibie kwa mtu mzima. And you wont believe it! Bookworm alivo bwelegeje sijui ndo MADAWA anaonekana kabisaaa kudance the tune! Mpaka muda huu naandikaa hapa wanaonekana sehemu kibao madai yao wana REBOUND na Ku RECONNECT! kabla hawajafanya maamuzi magumu! CAN OU BELIEVE THAT? Then talkin about their bastard kid, how they love each other, how they miss each other! THIS IS UNSPEAKABLE! Namuhurumia tu Bookworm! THESE DAYS IT DOESNT MATTER HOW MUCH YOU WRONGED SOME1, RATHER WHAT TRICK AND DRAMA YOU WILL USE TO BEG FORGIVENSS! MJINI MIPANGO!

Mwandishi nawe hukufundishwa chuo kufupisha na kubaki kwenye topic? Zig-zag nyingi kwenye makala yako, halafu unaandika kana kwamba unaongea talk show, uandishi na uongeaji huwakilishwa tofauti, we write in Calcutta we speak in Bombay. ila message umefikisha
 
Labda nikukumbushe tu mkuu,uandishi ni taaluma. Pamoja na ukweli kuwa shuleni tulijifunza kuandika insha ya mambo mbalimbali lakini ukweli ndo huo. Tunaandika kingereza kama tunavyoongea kiswahili. Kiasi kwamba mtu ambaye hajui kiswahili akisoma maandiko yako anatoka kapa.
 
Ablessed nimejaribu hilo neno la kwanza nikiunga sentensi haileti maana. Sasa ngoma ni pale mwisho,'I dont give a shirt'yaani ndo nimepata kizunguzungu. Nime surrender mkuu. Kwa uandishi huu,we still have a long way to go...

Umeonae?'I don't give a shirt?!!!'

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
U never know, wayz are so different among lifestyles regardless of changes
 
Huwa navutiwa sana na aina ya uandishi wako, salute kwako lara 1
.............. especially pale ambapo BENJAMINS zinahusika! With his new found empire it will be so unfair and heartbreaking for such a young man like him to be seen ALONE and LONELY while i the GOOD OLD FRIEND can definitely do something about it. Ndo nikaanza kujifanyia LOGISTIC ZANGU binafsi za kuingiza kingi bookworm.
 
Last edited by a moderator:
Mwandishi nawe hukufundishwa chuo kufupisha na kubaki kwenye topic? Zig-zag nyingi kwenye makala yako, halafu unaandika kana kwamba unaongea talk show, uandishi na uongeaji huwakilishwa tofauti, we write in Calcutta we speak in Bombay. ila message umefikisha

WEWE BINAFSI MADA ZAKO ZENE HUO UANDISHI WA TAALUMA ZIKO WAPI?????????? TALK IS CHEAP!

As for me NAANDIKA NAVOJISIKIA!!!!!!!!!!!! UPO HAPO? SIJAKUTMIA KADI YA MWALIKO UJE USOME NILICHOONDIKA? Maisha yako nitaandika nachojisikia hata nikijisikia kumix na ARABIC nitamix, hata KICHAGAnikijisikia nitamix.

Mii ni INDEPENDENT WRITER SIFATI CODES ZA WAFU!!!!!!!!!!! Naandika kwendana na wakati AND MOSTLY IMPORTANTLY HOW IT PLEASES ME NOT YOU! Ukitaka kujiplease andika mada zako ujiplizishe.
 
Take it easy...he just gave you a valuable advice,no need to attack him!!he may or may not be right.
 
haa, mbona unashangaa sana huo msamaha, si kamsamehe tu maisha yanaendelea, watu wanasamehe wauaji sembuse kibuti, mama kanumba na lulu si mabeste.
back to u now, kwanini unawaita majina mabaya, mara bastard, shameless man, evil woman etc mpaka nahisi ww umekasirika vile umepokonywa tonge mdomoni, huyo kamsamehe mwanamke wake sababu alimpenda na hata kama mtoto asingekuwa wa bookworm bado angesamehewa tu, luv's blind wanasemaga, mpaka alimwaga machozi alivotoswa si mchezo, ni upendo mkubwa huo,
pole bana njiwa ashapeperuka huyo.

Mkuu kusamehe sawa, lakini usisahau kuwa huyo mama alishaingia kwenye ndoa!

Kama una maana kumsamehe kwa kumpiga kibuti...sawa lakini siyo kumsamehe na kurejesha mahusiano wakati mwenzie bado yuko kwenye ndoa!
 
Back
Top Bottom