Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

Sasa wewe ndugu yangu ndo umemtaja huyo CEO? Pisi kali ni nani? Chombo ya fundi maana yake ni nini? Fundi ni nani?

Hapa kisheria Efm hawaingii.... Ila wewe ndo unaweza ingina matatani kwa kuleta fasiri yako hiyo
hayo maneno yamekuwa mtandaoni tangu juzi of course inajulikana ni propaganda za utopolo,wamewekeza sana huko kwenye media kuivuruga simba kwa maneno hayo,ukipitia comments za hapa kwenye huu uzi utagundua kwamba huyu mwanamama anahitaji hata ulinzi sasa
Hakuna mtu aliyesema washtakiwe lakini wenyewe kina Francis mhando wanajua wazi walikuwa wana incite upuuzi wakidhani wanaiumiza simba kumbe wanamdhalilisha dada wa watu
SHAME SHAME SHAME
 
Mo siyo CEO wa msimbazi.
Msimbazi CEO wao wanae pisi kali hivi imazing
 
Hayo mambo wanayataka Simba wenyewe, efm hawajaanza leo kuwadhalilisha Simba lakini Simba kama taasisi wanauwezo wa kuchukua hatua kwa kifupi uongozi wa Simba umepwaya
 
Ndiyo matatizo yetu wabongo.
Hata ukimuuliza fundi, gharama ya hii kazi yako ni kiasi gani? Ataanza kuona aibu mara akwambie wewe utanipa kiasi gani etc...

Hayohayo kwa Simba, kwani kusema kosa analotuhumiwa nalo Mkude kuna matatizo gani?
Ndiyo maana mnaleta speculations za ajabu.
 
Kwa nini uongozi wa simba usiweke sababu wazi za kusimamishwa Mkude ni nini hasa wanachoficha? Huoni wakikaa kimya ndivyo minong'ono inavyozidi. Uongo ukisemwa sana mwisho hugeuka kweli
 
Ila Fundi kaumia sana mwamba Mkude kumlamba CEO
naona unataka kunitoa kwenye reli siyo ACHENI KUDHALILISHA WANAWAKE,HAO EFM WANA USHAHIDI KWAMBA MKUDE KAMGONGA CEO WA SIMBA?
KAMA WANAUME KWELI WAONGELEE NA YA YULE DC SI WANACHUKUA MANENO MITANDAONI?
 
Sasa mkuu ni wapi wamemtaja huyo CEO wenu
 
Sasa mkuu ni wapi wamemtaja huyo CEO wenu
FUMBO MFUMBIE MJINGA ushaona nimeanzisha uzi kulalamika maneno ya social media?nimesikitishwa sana na EFM mbaya zaidi aliyesema,IMMA katanga of course ni mtangazaji wa kipindi cha jioni walimwita ili kuelelezea mapenzi yake na yanga akwa anaikandia simba(huo ni ushabiki kawaida)ghfla kasema anapokea meseji za mashabiki wa yanga kwenye social media na simu wakitaka endelee kutupa. mawe (kuikandia simba)mara ghafla "INASEMEKANA MKUDE ALIFANYA VILE MAMBO. NA PISI KALI CHOMBO YA FUNDI"
yamesemwa sana kwenye social media ila kusemea redio kubwa kama vile hapana kwa kweli,mtakuja sana na angle sijui kisheria hajataja mtu sijui hajafanya nini
NATAKA TU NIWAAMBIE UONGOZI WA EFM,NA WA SPORTS HEADQURTERS JIHESHIMUNI MUSHESHIMIWE siyo kijiwe cha bangi hicho
 
Kusema ukweli nimesikitika sana nilipokuwa naskliza habari ya michezo EFM na nikajua kwanini serikali inataka kuanzia mwakani watangazaji wa radio wawe na taaluma ya kusomea, maana kama mtangazi kaenda shule lazima atajua ethics za kazi yake, Babra ana familia inamuheshimu na kama ambavyo sie tunaheshimu dada/shangazi/mama zetu

Kwa sababu za usimba na uyanga unafanya tuhararishe ujinga, kwakuwa hili limetokea Simba basi yanga wachekelee, mkude anajulikana kwa utovu wake wa nidhamu, sielewi hii hoja ya kumtaka CEO inatoka wapi, ila EFM wamekosea sana na wanapaswa kuomba radhi, haya mambo wangeacha mashabiki ndio wataniane, shame on them
 
afadhali kama uli notice hilo ndugu yangu,halafu wanamuita pisi kali huku wanacheka imeniuma sana namuonea huruma sana Barbra she is dedicated lakini. mazingira ya mfumo dume ni magumu sana
watu wana chuki zao na Mo na simba zinamuanguki huyu dada,wampe ulinzi tu kuna siku atadhalilishwa hadharani yule na watu watatetea wakidai ni pisi kali
 
Huko ni kujipendekeza jua huko Simba kuna watu wenye kuifahamu zaidi yako na wana maslahi makubwa na Simba kuliko ww.
 
Huko ni kujipendekeza jua huko Simba kuna watu wenye kuifahamu zaidi yako na wana maslahi makubwa na Simba kuliko ww.
bro namuongelea Barbra siadhani kama dada yako akidhalilishwa utafurahia..itukaneni simba mnavyotaka hata mkitaka kachomeni jengo moto lakini dada wa watu kumdhalilisha kwenye platform kama Efm ni very wrong
Uhuni wa facebook na instagrama unauleta pale?
 
Kumbe huyo PISI KALI anezungumzwa huku mtaani ndo huyo Babra? Au hapo kwenye kipindi walimtaja Jina?
narudia tena fumbo mfumbie mjinga,hayo maneno yapo sana mtandaoni unaona ni sawa EFM kutumika kama platform ya kuongelea hiyo issue?
Uandishi wa habari nchi hii ni changamoto sana,sana tu
 
Kwani wapi hao EFM wamesema Mkude kamgonga CEO wa Simba?
naona unataka kunitoa kwenye reli siyo ACHENI KUDHALILISHA WANAWAKE,HAO EFM WANA USHAHIDI KWAMBA MKUDE KAMGONGA CEO WA SIMBA?
KAMA WANAUME KWELI WAONGELEE NA YA YULE DC SI WANACHUKUA MANENO MITANDAONI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…