Kwa heshima Simba SC, Abdala Muhene try again, Murtaza Mangungu, CEO Majura na Bodi yote wajiuzulu mara moja!

change formula

JF-Expert Member
Sep 8, 2020
694
1,463
Kwa kile kipigo cha aibu timu yetu ya Simba ilichopata mbele ya mpinzani wake, itakuwa jambo la busara kwa viongozi wote wa bodi ya wakurungenzi ya Simba wote kujiuzuru,wakiongozwa na Abdala Muhene na Murtaza Mangungu.

Kwa taarifa zilizopo na uhalisia kipigo cha goli tano akija tokea kwa bahati mbaya!! Bali ni uzembe wa muda mrefu wa viongozi wa Simba hasa mwenyekiti wa bodi na secretary ya Simba.

Viongozi hao wamekuwa wabishi na wajuaji mno! kuchukua hatua licha ya viashiria vibaya na vya muda mrefu kwenye timu yetu ya Simba.

Abdala Muhene na jopo lake wameshindwa kudhibiti nidhamu ya wachezaji na benchi la ufundi hivyo kuacha mwanya wa wapinzani wetu kutumia nafasi hio kutuhujumu kwa kupitia baadhi ya watendaji na wachezaji wetu wasio waaminifu.

Licha ya kuwa wapinzani wetu kuwa na ubora fulani ila suala la kuifunga timu yetu idadi kubwa ya magoli ni jambo lisilowezekana kabisa bila hujuma, hakuna Simba iliyokuwa mbovu na haina pesa kama ile ya msimu wa 2013-2014, wapinzani wakiwa kwenye ubora wao, mechi yetu ya tarehe 20 April 2014, kipindi cha kwanza walitupiga tatu bila ila kipindi cha pili wachezaji wetu walirudisha goli zote na mechi ikaisha sare!! Leo hii Simba ikiwa na kila kitu inaruhusu goli tano?!!

Hii haikubaliki kabisa! Viongozi walipewa taarifa mapema kuhusu hatari ya kupoteza mechi hii ila mwenyekiti alipuuzia kabisa, akazima na simu kabisa hakutaka usumbufu matokeo yake ni aibu kuu isiyovumilika.

Taarifa za uhakika wafia timu walionya mapema kuhusu matatizo makubwa kwenye timu toka msimu unaanza na hasa mechi za mwarabu wa Egypt,mechi ya power Dynamo na mechi hii ya mahasimu wetu ila hawakusikilizwa kabisa!! Toka jumatatu siku sita kabla ya mechi na mahasimu wetu mwenyekiti alijulishwa taarifa za hujuma inayoendelea, kupitia kwa wachezaji wetu watatu wa kigeni na wawili wazawa kupitia kwa mtendaji wetu mmoja ambae ana mwanamke wake hawala, alieko kinondoni ambae anatumika na mahasimu wetu ila mwenyekiti alipuuzia na kuzima simu kabisa.

Pia wafia timu waliomba timu iweke kambi maalumu na isiwe bunju maana bunju hakuna udhibiti wowote na pia kambi maalumu itasaidia kudhibiti wachezaji na watendaji wasaliti ila nalo mwenyekiti na CEO wake walilipuuzia na kuishia kuita wafia timu kuwa ni washamba ila mwisho wa siku washamba halisi wameonekana.

Hivyo kwa heshima ya club Abdala try e na Murtaza Mangungu na CEO majura Imani, wajiuzuru tu,vinginevyo wakikaidi dhahama kuu itawashukia kupitia timu kupoteza mechi zote muhimu.
Kwa viongozi watakao chukua timu baada ya watu hao kujiuzuru mambo matatu wafanye:

jambo la kwanza kufanya ni kudhibiti nidhamu ya wachezaji wetu, jambo la pili ni kufukuza kocha uyo mbrazil haraka sana na benchi lake la ufundi, jambo la tatu ni kusimamisha wachezaji watatu ambao sitawataja hapa kwasababu maalumu wawili wa kigeni na mmoja mzawa.

Kubwa zaidi ni kufatilia mihamala iliyofanywa toka jumatano na mwanamke wa kinondoni wataona ilienda kwa nani na wakigundua wachukue hatua.

mwisho Barbra arudishwe kazini maana kwenye suala la kudhibiti nidhamu hakuwa na mchezo halidhibiti hujuma zote kwa asilimia kubwa kwa wachezaji na watendaji wasaliti.

Kama mnakumbuka hujuma za wapinzani wetu kupitia kampuni la mdhamini wao kutaka kudhamini ligi kwa udhamini wa mchongo ila Barbra alisimama kidete mpaka kukorofishana na mamlaka ya soka!

Hio ni moja kati ya hujuma nyingi ambazo uyo mwanadada alisimama kidete kuzipangua,mechi ya Simba na wapinzani wetu wakubwa ni zaidi ya mechi sio mechi ya kawaida ndio maana ikaitwa mechi ya "mahasimu" hivyo mbinu zote za gharama yeyote zinatumika ili mtu afe.

Abdala Muhene, Murtaza Mangungu, bodi ya wakurungenzi na secretary ya timu hasa CEO jiuzuluni tu kwa manufaa ya timu kipigo iki ni kikubwa mno hakivumiliki na sisi hatuwezi kusahau wala kuwavumilia, msimbazi ni msiba mkubwa kafara lazima litolewe.
 
Licha ya kuwa wapinzani wetu kuwa na ubora fulani ila suala la kuifunga timu yetu idadi kubwa ya magoli ni jambo lisilowezekana kabisa bila hujuma
Tatizo linaanzia hapa. Fikra zenu zinaamini hamuwezi kufungwa goli 5 na Yanga ila ni timu gani yenye uwezo huo sasa? Kuna amani kubwa kama utaamini kuna mambo yanawezekana kutokea no matter the situation or circumstances. Poleni sana ndio mpira huo na msijilaumu mmekutana na kilichobora zaidi yenu.

Shida ya kuchelewa kuujua na kushabikia mpira
 
Sikulaumu kwa hizo fikra zako, bahati mbaya uko kwenye majaruba ya mpunga unalima kwa jembe la mkono huwezi kuelewa chochote,na Mimi siwezi kuharibu muda wangu kukuelewesha.

Sisi tulio mjini dasalamu tunaoelewa michezo ya hizi timu zetu ndio tunajua tumeteleza wapi!! Wewe endelea kushangilia ushindi uku ukiwa umeshikilia bakuli la uji na kiazi cha kuchoma.
 
Kwa kile kipigo cha aibu timu yetu ya Simba ilichopata mbele ya mpinzani wake, itakuwa jambo la busara kwa viongozi wote wa bodi ya wakurungenzi ya Simba wote kujiuzuru,wakiongozwa na Abdala Muhene na Murtaza Mangungu.

Kwa taarifa zilizopo na uhalisia kipigo cha goli tano akija tokea kwa bahati mbaya!! Bali ni uzembe wa muda mrefu wa viongozi wa Simba hasa mwenyekiti wa bodi na secretary ya Simba.

Viongozi hao wamekuwa wabishi na wajuaji mno! kuchukua hatua licha ya viashiria vibaya na vya muda mrefu kwenye timu yetu ya Simba.

Abdala Muhene na jopo lake wameshindwa kudhibiti nidhamu ya wachezaji na benchi la ufundi hivyo kuacha mwanya wa wapinzani wetu kutumia nafasi hio kutuhujumu kwa kupitia baadhi ya watendaji na wachezaji wetu wasio waaminifu.

Licha ya kuwa wapinzani wetu kuwa na ubora fulani ila suala la kuifunga timu yetu idadi kubwa ya magoli ni jambo lisilowezekana kabisa bila hujuma, hakuna Simba iliyokuwa mbovu na haina pesa kama ile ya msimu wa 2013-2014, wapinzani wakiwa kwenye ubora wao, mechi yetu ya tarehe 20 April 2014, kipindi cha kwanza walitupiga tatu bila ila kipindi cha pili wachezaji wetu walirudisha goli zote na mechi ikaisha sare!! Leo hii Simba ikiwa na kila kitu inaruhusu goli tano?!!

Hii haikubaliki kabisa! Viongozi walipewa taarifa mapema kuhusu hatari ya kupoteza mechi hii ila mwenyekiti alipuuzia kabisa, akazima na simu kabisa hakutaka usumbufu matokeo yake ni aibu kuu isiyovumilika.

Taarifa za uhakika wafia timu walionya mapema kuhusu matatizo makubwa kwenye timu toka msimu unaanza na hasa mechi za mwarabu wa Egypt,mechi ya power Dynamo na mechi hii ya mahasimu wetu ila hawakusikilizwa kabisa!! Toka jumatatu siku sita kabla ya mechi na mahasimu wetu mwenyekiti alijulishwa taarifa za hujuma inayoendelea, kupitia kwa wachezaji wetu watatu wa kigeni na wawili wazawa kupitia kwa mtendaji wetu mmoja ambae ana mwanamke wake hawala, alieko kinondoni ambae anatumika na mahasimu wetu ila mwenyekiti alipuuzia na kuzima simu kabisa.

Pia wafia timu waliomba timu iweke kambi maalumu na isiwe bunju maana bunju hakuna udhibiti wowote na pia kambi maalumu itasaidia kudhibiti wachezaji na watendaji wasaliti ila nalo mwenyekiti na CEO wake walilipuuzia na kuishia kuita wafia timu kuwa ni washamba ila mwisho wa siku washamba halisi wameonekana.

Hivyo kwa heshima ya club Abdala try e na Murtaza Mangungu na CEO majura Imani, wajiuzuru tu,vinginevyo wakikaidi dhahama kuu itawashukia kupitia timu kupoteza mechi zote muhimu.
Kwa viongozi watakao chukua timu baada ya watu hao kujiuzuru mambo matatu wafanye:

jambo la kwanza kufanya ni kudhibiti nidhamu ya wachezaji wetu, jambo la pili ni kufukuza kocha uyo mbrazil haraka sana na benchi lake la ufundi, jambo la tatu ni kusimamisha wachezaji watatu ambao sitawataja hapa kwasababu maalumu wawili wa kigeni na mmoja mzawa.

Kubwa zaidi ni kufatilia mihamala iliyofanywa toka jumatano na mwanamke wa kinondoni wataona ilienda kwa nani na wakigundua wachukue hatua.

mwisho Barbra arudishwe kazini maana kwenye suala la kudhibiti nidhamu hakuwa na mchezo halidhibiti hujuma zote kwa asilimia kubwa kwa wachezaji na watendaji wasaliti.

Kama mnakumbuka hujuma za wapinzani wetu kupitia kampuni la mdhamini wao kutaka kudhamini ligi kwa udhamini wa mchongo ila Barbra alisimama kidete mpaka kukorofishana na mamlaka ya soka!

Hio ni moja kati ya hujuma nyingi ambazo uyo mwanadada alisimama kidete kuzipangua,mechi ya Simba na wapinzani wetu wakubwa ni zaidi ya mechi sio mechi ya kawaida ndio maana ikaitwa mechi ya "mahasimu" hivyo mbinu zote za gharama yeyote zinatumika ili mtu afe.

Abdala Muhene, Murtaza Mangungu, bodi ya wakurungenzi na secretary ya timu hasa CEO jiuzuluni tu kwa manufaa ya timu kipigo iki ni kikubwa mno hakivumiliki na sisi hatuwezi kusahau wala kuwavumilia, msimbazi ni msiba mkubwa kafara lazima litolewe.
Serikali fukuzeni Gamond anahatarisha Amani ya Nchi.
 
Mtaongea na kuweweseka sana baada ya kipigo cha jana.
 
Sikulaumu kwa hizo fikra zako, bahati mbaya uko kwenye majaruba ya mpunga unalima kwa jembe la mkono huwezi kuelewa chochote,na Mimi siwezi kuharibu muda wangu kukuelewesha.

Sisi tulio mjini dasalamu tunaoelewa michezo ya hizi timu zetu ndio tunajua tumeteleza wapi!! Wewe endelea kushangilia ushindi uku ukiwa umeshikilia bakuli la uji na kiazi cha kuchoma.
Punguza hasira kijana. Rudia kusoma nilichoandika bila hasira wala makasiriko
 
Kwa kile kipigo cha aibu timu yetu ya Simba ilichopata mbele ya mpinzani wake, itakuwa jambo la busara kwa viongozi wote wa bodi ya wakurungenzi ya Simba wote kujiuzuru,wakiongozwa na Abdala Muhene na Murtaza Mangungu.

Kwa taarifa zilizopo na uhalisia kipigo cha goli tano akija tokea kwa bahati mbaya!! Bali ni uzembe wa muda mrefu wa viongozi wa Simba hasa mwenyekiti wa bodi na secretary ya Simba.

Viongozi hao wamekuwa wabishi na wajuaji mno! kuchukua hatua licha ya viashiria vibaya na vya muda mrefu kwenye timu yetu ya Simba.

Abdala Muhene na jopo lake wameshindwa kudhibiti nidhamu ya wachezaji na benchi la ufundi hivyo kuacha mwanya wa wapinzani wetu kutumia nafasi hio kutuhujumu kwa kupitia baadhi ya watendaji na wachezaji wetu wasio waaminifu.

Licha ya kuwa wapinzani wetu kuwa na ubora fulani ila suala la kuifunga timu yetu idadi kubwa ya magoli ni jambo lisilowezekana kabisa bila hujuma, hakuna Simba iliyokuwa mbovu na haina pesa kama ile ya msimu wa 2013-2014, wapinzani wakiwa kwenye ubora wao, mechi yetu ya tarehe 20 April 2014, kipindi cha kwanza walitupiga tatu bila ila kipindi cha pili wachezaji wetu walirudisha goli zote na mechi ikaisha sare!! Leo hii Simba ikiwa na kila kitu inaruhusu goli tano?!!

Hii haikubaliki kabisa! Viongozi walipewa taarifa mapema kuhusu hatari ya kupoteza mechi hii ila mwenyekiti alipuuzia kabisa, akazima na simu kabisa hakutaka usumbufu matokeo yake ni aibu kuu isiyovumilika.

Taarifa za uhakika wafia timu walionya mapema kuhusu matatizo makubwa kwenye timu toka msimu unaanza na hasa mechi za mwarabu wa Egypt,mechi ya power Dynamo na mechi hii ya mahasimu wetu ila hawakusikilizwa kabisa!! Toka jumatatu siku sita kabla ya mechi na mahasimu wetu mwenyekiti alijulishwa taarifa za hujuma inayoendelea, kupitia kwa wachezaji wetu watatu wa kigeni na wawili wazawa kupitia kwa mtendaji wetu mmoja ambae ana mwanamke wake hawala, alieko kinondoni ambae anatumika na mahasimu wetu ila mwenyekiti alipuuzia na kuzima simu kabisa.

Pia wafia timu waliomba timu iweke kambi maalumu na isiwe bunju maana bunju hakuna udhibiti wowote na pia kambi maalumu itasaidia kudhibiti wachezaji na watendaji wasaliti ila nalo mwenyekiti na CEO wake walilipuuzia na kuishia kuita wafia timu kuwa ni washamba ila mwisho wa siku washamba halisi wameonekana.

Hivyo kwa heshima ya club Abdala try e na Murtaza Mangungu na CEO majura Imani, wajiuzuru tu,vinginevyo wakikaidi dhahama kuu itawashukia kupitia timu kupoteza mechi zote muhimu.
Kwa viongozi watakao chukua timu baada ya watu hao kujiuzuru mambo matatu wafanye:

jambo la kwanza kufanya ni kudhibiti nidhamu ya wachezaji wetu, jambo la pili ni kufukuza kocha uyo mbrazil haraka sana na benchi lake la ufundi, jambo la tatu ni kusimamisha wachezaji watatu ambao sitawataja hapa kwasababu maalumu wawili wa kigeni na mmoja mzawa.

Kubwa zaidi ni kufatilia mihamala iliyofanywa toka jumatano na mwanamke wa kinondoni wataona ilienda kwa nani na wakigundua wachukue hatua.

mwisho Barbra arudishwe kazini maana kwenye suala la kudhibiti nidhamu hakuwa na mchezo halidhibiti hujuma zote kwa asilimia kubwa kwa wachezaji na watendaji wasaliti.

Kama mnakumbuka hujuma za wapinzani wetu kupitia kampuni la mdhamini wao kutaka kudhamini ligi kwa udhamini wa mchongo ila Barbra alisimama kidete mpaka kukorofishana na mamlaka ya soka!

Hio ni moja kati ya hujuma nyingi ambazo uyo mwanadada alisimama kidete kuzipangua,mechi ya Simba na wapinzani wetu wakubwa ni zaidi ya mechi sio mechi ya kawaida ndio maana ikaitwa mechi ya "mahasimu" hivyo mbinu zote za gharama yeyote zinatumika ili mtu afe.

Abdala Muhene, Murtaza Mangungu, bodi ya wakurungenzi na secretary ya timu hasa CEO jiuzuluni tu kwa manufaa ya timu kipigo iki ni kikubwa mno hakivumiliki na sisi hatuwezi kusahau wala kuwavumilia, msimbazi ni msiba mkubwa kafara lazima litolewe.
Kongole kwa Rage
IMG_8628.jpeg
 
Safari hii mtatimua hadi wapenzi wa Simba
 
Umeandika pumba tupu, Try again anamuwakilisha Mwamedi Dewji muwekezaji, hawezi kujiuzulu kwa shinikizo lolote unless Mwamedi peke yake ndio mwenye mamlaka ya kutowa, labda Mangungu ndio anawajibika kwa wanachama.

Halafu unaposema Barbara arudishwe kwani alifukuzwa lini?

Unamrudisha vipi mtu aliyeresign?

Punguza mhaho.
 
Back
Top Bottom