GodfreyTajiri JF-Expert Member Sep 26, 2010 986 655 Nov 26, 2011 #21 Mwita25 said: Anatembea naye barabarani? Click to expand... hapana anatembea nae kwenye simu
Chimo JF-Expert Member Aug 31, 2008 714 360 Nov 26, 2011 #22 We sema tu umbeya lakini yakikukuta usije kusema usongea wala urukwa badala ya kukemea kwa nguvu zote mna leta ushabiki wa uyanga na usimba
We sema tu umbeya lakini yakikukuta usije kusema usongea wala urukwa badala ya kukemea kwa nguvu zote mna leta ushabiki wa uyanga na usimba
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Nov 27, 2011 #23 Wote wapumbavu. Sina muda wa kujadili wapumbavu.
Shark JF-Expert Member Jan 25, 2010 29,461 29,158 Nov 27, 2011 #24 Hawa wachezaji watakuja kuuana kwa UKIMWI. Last time Kaseja na Chuji waliibiana mke kwa style hii hii.
Hawa wachezaji watakuja kuuana kwa UKIMWI. Last time Kaseja na Chuji waliibiana mke kwa style hii hii.
Kigogo JF-Expert Member Dec 14, 2007 20,508 6,146 Nov 27, 2011 #25 shamte na wewe joka lakibisa ndo maana
D davestro Senior Member Apr 29, 2011 128 3 Nov 27, 2011 #26 According to symbolic 'interactionalism theory' wa2 hao waachen watajuana wenyewe.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Jan 19, 2010 6,829 1,296 Nov 27, 2011 #27 Chinchilla said: Mtoto wa kiume mbeeyaa! Click to expand... Inadaiwea umbeya wavidume mtamu zaidi!
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,288 Nov 27, 2011 #28 mwita25 said: anatembea naye barabarani? Click to expand... kitandani
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,288 Nov 27, 2011 #29 sir. Burn said: hawa wachezaji watakuja kuuana kwa ukimwi. Last time kaseja na chuji waliibiana mke kwa style hii hii. Click to expand... ubaya wa h.i.v inadelay sana kuonekana na sometimes mtu akigonga arv ndo anazidi kunona.kazi ni kwao
sir. Burn said: hawa wachezaji watakuja kuuana kwa ukimwi. Last time kaseja na chuji waliibiana mke kwa style hii hii. Click to expand... ubaya wa h.i.v inadelay sana kuonekana na sometimes mtu akigonga arv ndo anazidi kunona.kazi ni kwao
NICK2275 JF-Expert Member Oct 31, 2010 3,931 918 Nov 28, 2011 #30 umesahau ya john terry na mwenzake-ni mambo ya kawaida tu haya
BPM JF-Expert Member Mar 10, 2011 2,760 573 Nov 28, 2011 #31 hivi kweli unawezaje kulalamika mbele za watu kwamba mkeo anatembea na fulani ??? je kama uko chini ya kiwango unategemea afanyeje?
hivi kweli unawezaje kulalamika mbele za watu kwamba mkeo anatembea na fulani ??? je kama uko chini ya kiwango unategemea afanyeje?
N Nsuri JF-Expert Member Oct 3, 2011 1,013 558 Nov 28, 2011 #32 Inawezekana yeye alimuoa huyo mwanamke wakati ana uhusiano na machupa. Tatizo la wachezaji wanaoa ovyo bila kumfahamu mtu tabia zake!!
Inawezekana yeye alimuoa huyo mwanamke wakati ana uhusiano na machupa. Tatizo la wachezaji wanaoa ovyo bila kumfahamu mtu tabia zake!!