Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,805
ndiyo u gogle sasa.. MK ULTRA PROJECT : Electronic Mind Control and WeaponHebu tufungue kidogo.., project MK UTRA ni nini hasa...?
ndiyo u gogle sasa.. MK ULTRA PROJECT : Electronic Mind Control and WeaponHebu tufungue kidogo.., project MK UTRA ni nini hasa...?
Mtaa wa lumumba ungesha badilishwa jina!!Umiliki wa silaha marekani sijawah kuuelewa.. Ingekuwa Tanzania sijui ingekuaje
Siraha=Silahamaslahi yapo wapi kuuza siraha au kutouza siraha......??????kwa jinsi ninavyoona wenye kutengeneza bado wana nguvu ya kuuza
Unataka kujua tanzania itakuwaje, nenda central kawambie nyumbani kwa jirani yangu kuna bunduki kisha utajua inakuwaje. Tz hakuna sheria ya kumiliki silaha bila kibali maalumu. Utajua polisi wana defender ngapi zitakazo fuata silaha yao huko ulikowaelekeza. Naipenda sana nchi yangu na mfumo wake wa usalama hasa kwa ss raiaUmiliki wa silaha marekani sijawah kuuelewa.. Ingekuwa Tanzania sijui ingekuaje
Makada ya chadema wakina yericko ungekuta walisha lamba bichwa la Mbowe kwa risasiMtaa wa lumumba ungesha badilishwa jina!!
Kwa nchi kama Tanzania ipo sheria kali dhidi ya umiliki wa silaha, hii sheria inawabana hasa viongozi wa upinzani chadema wangekuwa wanazitumia hvyo kushambulia raia mitaaniUnataka kujua tanzania itakuwaje, nenda central kawambie nyumbani kwa jirani yangu kuna bunduki kisha utajua inakuwaje. Tz hakuna sheria ya kumiliki silaha bila kibali maalumu. Utajua polisi wana defender ngapi zitakazo fuata silaha yao huko ulikowaelekeza. Naipenda sana nchi yangu na mfumo wake wa usalama hasa kwa ss raia
Kabisa...kwasababu ni mzungu lazma wenzie waseme alikua na 'hostoria' ya ugonjwa wa akili....
Ni kweli ulichosema mkuuAngekuwa mshenzi kama angekuwa wa allah, lakini kama siyo utasikia ana tatizo la akili
that is what you have seen good........this is the end of your ropeSiraha=Silaha
Kubali kukosolewa ewe M-Mandarinthat is what you have seen good........this is the end of your rope
Kubali kukosolewa au unataka uachwe tu ili uendelee kuufuga ujinga?that is what you have seen good........this is the end of your rope
typos ni ujinga?Kubali kukosolewa au unataka uachwe tu ili uendelee kuufuga ujinga?