Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,625
Endelea achana naeVijana weeeeeeeengi toka kijijini kwetu nikiwemo mimi tulienda Zanzibar kwa nyakati tofauti kusaka maisha wengine hadi leo wako huko. Waliokuwa wanarudi walitujulisha Ukifika Zanzibar nenda Uroa kwa mzee fulani utakuta wasukuma kibao wakifanya kazi za kulima na kusimamia mashamba na walikuwa na umoja wao wa kusaidiana endapo mmoja atapata matatizo. Nenda Dunga kaulize hii story na kama ni agent au imekugusa tafuta njia nyingine ya kupotosha