jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,293
Mpangilio tu wa hii story ni chai
Chai kabisaaaaaaa
Chai kabisaaaaaaa
Kazi mkuuSasa mbona umepiga break mkuu, tupe story
Kipindi hicho mkuu kwa sasa serikali karibia zote duniani zililichukulia maanani suala la ugaidi ndiyo sababu hata utekaji wa ndege ni kama haupo tena. Angalia Kibiti hao watu kama wangepata sapoti ya makundi makubwa kama Alqaida unafikili Tanzania ingesalimika!?Kwa hiyo Zanzibar kunamyanya ya kusafirisha watu ili wajekuwa magaidi siyo? Basi hata kibiti nako,amboni,na kule mwanza.
Tunajifunza kupitia makosaMpangilio tu wa hii story ni chai
Chai kabisaaaaaaa
Uko sahihi wala sijaona ulipokosea nikawaida vijana wa sehem moja kuitana kwenye utafutajiVijana weeeeeeeengi toka kijijini kwetu nikiwemo mimi tulienda Zanzibar kwa nyakati tofauti kusaka maisha wengine hadi leo wako huko. Waliokuwa wanarudi walitujulisha Ukifika Zanzibar nenda Uroa kwa mzee fulani utakuta wasukuma kibao wakifanya kazi za kulima na kusimamia mashamba na walikuwa na umoja wao wa kusaidiana endapo mmoja atapata matatizo. Nenda Dunga kaulize hii story na kama ni agent au imekugusa tafuta njia nyingine ya kupotosha
Nitafute Njia ya kupotosha, mimi sijaleta story. Hata Dar vijana wengi walienda kwa nyakati tofauti, kutoka vijiji tofauti. na mpaka sasa Dar kuna watu kutoka mikoa tofauti na wilaya tofauti na vijiji tofauti. inawezekana kabisa ukaenda mkoa mwingine na ukakutana na mtu mlietoka nae kijiji kimoja ila angalia story yako inavyoendana na masula sensitive ya kuvutia na imejipanga vizuri, kijana alilipua yupo ?????? hapo hapo mafunzo ya kigani mapya ni wewe tena umekutana nayo, its an interesting story watu wanaisubiri endelea.Vijana weeeeeeeengi toka kijijini kwetu nikiwemo mimi tulienda Zanzibar kwa nyakati tofauti kusaka maisha wengine hadi leo wako huko. Waliokuwa wanarudi walitujulisha Ukifika Zanzibar nenda Uroa kwa mzee fulani utakuta wasukuma kibao wakifanya kazi za kulima na kusimamia mashamba na walikuwa na umoja wao wa kusaidiana endapo mmoja atapata matatizo. Nenda Dunga kaulize hii story na kama ni agent au imekugusa tafuta njia nyingine ya kupotosha
We bwana ebu acha hizo sasa. Na kibiti unajua kimbunga chake? wewe sio mtu wa kijijini bana, ( mwanza kijijini, Zanzibar, anaelewa kuhusu kibiti?.Kipindi hicho mkuu kwa sasa serikali karibia zote duniani zililichukulia maanani suala la ugaidi ndiyo sababu hata utekaji wa ndege ni kama haupo tena. Angalia Kibiti hao watu kama wangepata sapoti ya makundi makubwa kama Alqaida unafikili Tanzania ingesalimika!?
Mkuu ni jambo rahisi sana kukutana na watu wa mtaani kwako kama asili ya kabila lenu ni watafutaji,mwaka fulani nilienda kusini huko mpakani na Mozambique nikakutana na jamaa mmoja tutokako ni majirani mpaka nilishangaa.mmmh hapa ukisoma mistari basi kuna utata.
kwanza: nikijaribu kuwaulizia viongozi wa umoja wa vijana wa Kisukuma waliokuwa maeneo ya Uroa. Yaani uende dar na uulize vijana wa usukumani au watu kutoka usukumani. ( inawezekana na ukawapata wengi sana )
penye utata: nakumbuka kipindi anatoka kijijini kuja Zanzibar huyu ndugu alihitimu tu darasa la saba kijijini kwetu........ yaani ulibahatika kukutana na mtu mliekuwa kijiji kimoja ( inawezekana ila sio kirahisi ki hivyo, mimi nimewahi kuishi uganda nikiwa nimetoka dar maeneo ya upanga. hapo ugana niliwakuta watanzania wengi ila sio wa maeneneo niliyotoa. niliwahi kuishi kenya na hata hapo kenya niikutana na watu wengi wa TZ ila hakuna niiekutananae na akatokea maeneo niiyokuwa naishi) sikatai kukutana na mtu wa kijijini kwenu ia cha kushangaza mtu huyohuyo anakuwa kwenye story unayotaka kuileta. kuna ile TV series inaitwa LOST no ilikuwa na mpangilio wa story yako.
Yaani na mpaka alielipua ubalozi wa marekani yupo kwenye stori yako.....
anyway endelea......
Mkuu ni jambo rahisi sana kukutana na watu wa mtaani kwako kama asili ya kabila lenu ni watafutaji,mwaka fulani nilienda kusini huko mpakani na Mozambique nikakutana na jamaa mmoja tutokako ni majirani mpaka nilishangaa.
Ni jambo la kawaida sana hili wala sio la kushangaza,kama wewe ulivyoenda Uganda pia kuna wengine nao walienda hivyo ungefanya jitihada kuwatafuta ungewapata tu.