Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,438
- 5,441
Wapendwa WanaJF, nina shamba langu zuri ekari 17 Turiani Morogoro, naliuza kwa Tsh 8,000,000/=
Kwanini ni zuri? Soma features zake hapa;
1) 70% ya shamba ambalo ni tambarare imezungukwa na mto usiokauka.
2) Lina udongo wenye rutuba nyingi, kwani nimelima awamu moja tu kwa trekta tangu nilipate. Na linafaa kwa kilimo cha mazao yote kuanzia matikiti,vitunguu, ufuta n.k
3) Lina kivuli cha miti ya matunda kama vile mifenesi,parachichi na mikorosho. Kivuli hiki kinavutia kwa ufugaji wa samaki,kuku na ngombe na mifugo mingine.
4) Kuna nyumba ya kudumu yenye fremu ya duka kwajili ya huduma ndogondogo kwa majirani na pia malazi kwa mlinzi wa shamba.
5) Kuna vifaa vyote vya bustani kv waterpump, mitungi ya kupulizia dawa etc ambavyo vyote vipo inclusive kwenye bei tajwa hapo juu.
6)Usafiri ni wa uhakika na gari linafika mpaka shamba.
Kwa wenye kuhitaji niPM ila udalali hautakiwi!
KARIBUNI SANA.