Exactly, the worth of my farm are my efforts but needs exerts and all means of supports for the owner to be successful!
I got some crutial issues on my ways na got no where/one to overcome rather than disposing one of non current assets.
See how an emerging entrepreneurs stack in his/her daily life of hastling and struggling!
"I will fail over and over again but eventually i will become successful"
Nina milioni 3.5 kwa hilo shamba. Ni Pm kama uko na moyo. ILA Turiani nasikia kuna wachawi sana!
Kaka ungetuwekea na picha ingekuwa poa sana, tunataka tuone hiyo tambarare unayosema
Kaka ungetuwekea na picha ingekuwa poa sana, tunataka tuone hiyo tambarare unayosema
Wafugaji wako umbali gani?
Hata mimi nauza ekari 30 zote zimepandwa mananasi na nimeshaanza kuvuna.kila ekari moja milion 3 liko rufiji km 120 kutoka dar.
:smile-big::smile-big::smile-big: Mkuu kweli aisee mambo za kuchinjana si mazuri
Bado lipo mkuu mbio zako tu! make ni wengi wamehamasika na kuahidi kuja kujionea ili twende hatua nyingine ya kuuziana.
Nakukaribisha.
Hbr yako naomba kujua khs hili Shamba lako la turiani bado lipo ama ushauza km lipo naomba tuwasiliane kwa kupanga zaidi.
Wapendwa WanaJF, nina shamba langu zuri ekari 17 Turiani Morogoro, naliuza kwa Tsh 8,000,000/=
Kwanini ni zuri? Soma features zake hapa;
1) 70% ya shamba ambalo ni tambarare imezungukwa na mto usiokauka.
2) Lina udogo wenye rutuba nyingi, kwani nimelima awamu moja tu kwa trekta tangu nilipate. Na linafaa kwa kilimo cha mazao yote kuanzia matikiti,vitunguu, ufuta n.k
3) Lina kivuli cha miti ya matunda kama vile mifenesi,parachichi na mikorosho. Kivuli hiki kinavutia kwa ufugaji wa samaki,kuku na ngombe na mifugo mingine.
4) Kuna nyumba ya kudumu yenye fremu ya duka kwajili ya huduma ndogondogo kwa majirani na pia malazi kwa mlinzi wa shamba.
5) Kuna vifaa vyote vya bustani kv waterpump, mitungi ya kupulizia dawa etc ambavyo vyote vipo inclusive kwenye bei tajwa hapo juu.
6)Usafiri ni wa uhakika na gari linafika mpaka shamba.
Kwa wenye kuhitaji niPM ila udalali hautakiwi!
KARIBUNI SANA.