Shamba zuri linauzwa.

Shamba zuri linauzwa.

Mkuu mzalendowaukwelikweli.
Hili shamba bado lipo. Wadau hawajaamua kuja mashambani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kisima,

Vipi wakati wa mvua shamba linafikika? Hivi Turiani ipo upande upi Morogoro? Ni ile njia ya kwenda Dakawa?

Please jibu
 
Kipindi cha mvua barabara zinapitika mkuu na ili uifikie Turiani itakulazimu upite barabara ya DODOMA, hivyo dakawa ipo njiani kuelekea huko Turiani ambapo junction yake ni Feri-Dumila.
 
udalali hautakiwi!
Just, How I like my very own Smile that I wear whenever a Seller or Buyer affixes those two Magical Swahili Words to an ad. And hey, Don't you bother to ask me why. for, Mi cyan tell yuh nuttin'.
 
Lakini huku Si ndo kila msimu Wa Masika mgogoro na wamasai full kuchinjana na kuchomeana nyumba....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom