niweze vuka maji ya shingo bila mbupu kuroa,Bange ni bangue
Hahahaniweze vuka maji ya shingo bila mbupu kuroa,
Dah ww unacheza na motoBangi nibangue sigara nigaragaze
Magufuli nimuone kama mtoto
(joke)
Ole wako usingeweka hiyo kitu kwenye mabano.Bangi nibangue sigara nigaragaze
Magufuli nimuone kama mtoto
(joke)
bangi nibangue jf nitanue ,na Aishah2016 nimchukue ,moderator wasijueBange ni bangue
bangi nibangue jf nitanue ,na Aishah2016 nimchukue ,moderator wasijue
Zao la biashara.Hapo Moshi kuna pusha kahukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la kukutwa na misokoto 600 ya shada.
vipi hivyoNichukue tu ila uwe na vigezo
Bei gan?